Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?

Ndio maana kuna mahali nimewahi kukwambia we jamaa unaipenda sana Tanzania.

Kwangu kila nianze kusoma nyuzi zako kichwani mwangu nasema huyu jamaa hakika ni soldier kama username yako (I mean no offense brother)
 
Poa mkuu. Thanks. Ngoja tuendelee tu kushauri kwa maana Mungu ana maana yake kuruhusu sisi kuzaliwa Tanzania na sio Marekani au Ulaya.
 
Wakati unahitimu mm wakati huu Niko mwaka wa pili naingia ...Ni bila Shaka umekula adavance diploma in accountancy au nazema uongo ndugu zangu
Nipe shikamoo dada yako hapa. Muda huo mimi ninafanya kazi tayari
 
Back
Top Bottom