Teddy1 JF-Expert Member Joined May 4, 2021 Posts 213 Reaction score 201 Jun 20, 2021 #201 K Mwita said: CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Samia la sivyo wataishia kufa kisiasa. Click to expand... Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje?
K Mwita said: CHADEMA Wajifunze siasa safi kama za Samia la sivyo wataishia kufa kisiasa. Click to expand... Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje?
Tall Msafi JF-Expert Member Joined Sep 15, 2016 Posts 230 Reaction score 231 Jun 20, 2021 #202 Teddy1 said: Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje? Click to expand... Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA.
Teddy1 said: Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Samia nyumbu wa ufipa wanabwabwaja ili iweje? Click to expand... Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA.
Rose Gabriella JF-Expert Member Joined Oct 17, 2020 Posts 603 Reaction score 584 Jun 20, 2021 #203 Tall Msafi said: Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA. Click to expand... Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu.
Tall Msafi said: Rais Samia anatoa funzo kubwa saaaana kwa CHADEMA. Click to expand... Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu.
Kisoda James JF-Expert Member Joined Jun 11, 2020 Posts 1,114 Reaction score 816 Jun 20, 2021 #204 Anna-Gabriella said: Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu. Click to expand... Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.
Anna-Gabriella said: Mama yetu Rais Samia ametoa pesa nyingi sana kwa ajili ya miradi mizuri ya maendeleo. Mungu mpe afya njema shujaa huyu. Click to expand... Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa.
Nyamambara JF-Expert Member Joined Jan 11, 2021 Posts 407 Reaction score 330 Jun 21, 2021 #205 Kisoda James said: Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa. Click to expand... Shauri yao Chadema, sisi Watanzania wote 2025 tupo na Rais Samia tu, wala hatutegemei Wazungu watupigie kura.
Kisoda James said: Rais Samia anapeleka umeme kila kijiji mkoloni alishindwa. Click to expand... Shauri yao Chadema, sisi Watanzania wote 2025 tupo na Rais Samia tu, wala hatutegemei Wazungu watupigie kura.