Niliidharau sana Fiat kumbe ni kampuni hatari

Niliidharau sana Fiat kumbe ni kampuni hatari

Turin old lady,chama langu hilo,siku za karibuni watu kibao wamedandia hilo mbaula kwa mbele coz ya cr7,wakati wakongwe tuko nalo chama kitambo hata liliposhuka daraja to serie b tulishuka nalo tukiwa sambamba na wakongwe kina del piero na gigi buffon
Pamoja na David Trezegeuet
 
Kuna mdau amenirekebisha hapa. Nilichnganya majina kidogo.. ila.ni kwamba sweden waliinunua kampuni ya fiat wakabadilisha jina to iveco.
Mbona bado unachanganya mkuu?

Iveco, an acronym for Industrial Vehicles Corporation, is an Italian industrial vehicle manufacturing company based in Turin, Italy, and entirely controlled by CNH Industrial Group. It designs and builds light, medium and heavy commercial vehicles, quarry/construction site vehicles, city and intercity buses and special vehicles for applications such as firefighting, off-road missions, the military and civil defence. The name Iveco first appeared in 1975 after a merger of Italian, French and German brands.[1] Its production plants are in Europe, Brazil, Russia, Australia, Africa, Argentina and China, and it has approximately 5,000 points of sales and service in over 160 countries. The worldwide output of the company amounts to around 150,000 commercial vehicles with a turnover of about 10,000,000,000.[2]

Iveco - Wikipedia
 
Na dereva akitaka kujipima afya, hana haja ya kwenda hospitali. Mbaula ni kipimo tosha
Mbaula sharti uvue shati ndio upige gia Mkuu, Clutch Jiwe, Uskani Chuma
Haa ha ha ha, you guys mmenikumbusha Enzi za NMC, nimepanda sana haya mambaula from school Iringa to Dar, nikiwa O level, natumiwa nauli ya kurudi Dar but najikuta naila hiyo nauli then naenda zangu pale Iringa mjini kwenye kihenge cha taifa (Enzi hizo) navizia lift to Dar, mareva wengi walikuaga wazee wazee hivi but with misuri ya kutosha kwasababu ya hizi mbaula!
 
ile sauti ya mbaula nilikuwa naogopa kuisogelea hata ikiwa sirencer nikidhani inaweza lipuka na moto ikawaka.
hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza
Hiyo ndoto ilikua continue everyday lile gari likipita ilikua ni ndoto mbaya iliyonitesa utoto wangu wote nilikua naota linakuja Kwa mbaaali naanza mbio kukimbilia maporini na lenyewe linanifuata popote baasi tabu tupu!
Mang'amu ng'amua ya Ile ndoto yalifanya nilichukie lile gari kiasi kwamba likiwa linapita nikianza sikia mlio naziba masikio mpaka lipite Ili sauti yake isijirewind night!
Utoto raha Sana!
😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom