Niliidharau sana Fiat kumbe ni kampuni hatari

Mbaula mpaka sasa zipo moja moja road.
Nimelifahamu tangu mdogo lilikuwepo kwenye kituo cha masista kijijini huko na dereva alikuwa ndugu yangu kaajiriwa hapo.
 
hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza
Hiyo ndoto ilikua continue everyday lile gari likipita ilikua ni ndoto mbaya iliyonitesa utoto wangu wote nilikua naota linakuja Kwa mbaaali naanza mbio kukimbilia maporini na lenyewe linanifuata popote baasi tabu tupu!
Mang'amu ng'amua ya Ile ndoto yalifanya nilichukie lile gari kiasi kwamba likiwa linapita nikianza sikia mlio naziba masikio mpaka lipite Ili sauti yake isijirewind night!
Utoto raha Sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi nilikua nayaogopa sana hasa ya mafuta, yalikua yananijia pia ndotoni[emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza
Hiyo ndoto ilikua continue everyday lile gari likipita ilikua ni ndoto mbaya iliyonitesa utoto wangu wote nilikua naota linakuja Kwa mbaaali naanza mbio kukimbilia maporini na lenyewe linanifuata popote baasi tabu tupu!
Mang'amu ng'amua ya Ile ndoto yalifanya nilichukie lile gari kiasi kwamba likiwa linapita nikianza sikia mlio naziba masikio mpaka lipite Ili sauti yake isijirewind night!
Utoto raha Sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hahhha ndoto bana hata ujifiche uvunguni gari itapenya huko huko itakufuata mm hadi leo naota ndoto mbovu nikishiba sana ugali wa donna usiku
 
hiyo mi mbaula sisi watoto wa DAR tumeizoe ya TWIGA CEMENT ila siku hizi tangu aje DANGOTE siioni kabisa mitaani
 
hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza
Hiyo ndoto ilikua continue everyday lile gari likipita ilikua ni ndoto mbaya iliyonitesa utoto wangu wote nilikua naota linakuja Kwa mbaaali naanza mbio kukimbilia maporini na lenyewe linanifuata popote baasi tabu tupu!
Mang'amu ng'amua ya Ile ndoto yalifanya nilichukie lile gari kiasi kwamba likiwa linapita nikianza sikia mlio naziba masikio mpaka lipite Ili sauti yake isijirewind night!
Utoto raha Sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

yaani hapa sasa ndio naamini binaadamu wote sio sawa ila kuna vitu tunaendana.

hali hii nilikuwa nayo mimi pia,sijui ilikuwa inasababishwa na nini!!!!

kuna gari moja mbaula nalo lilikuwa linabeba mkaa,lile goma lilikuwa kuchemsha ni swala la kawaida,na madereva wanalalamika siti zinachemka sana,sasa nikawa nahisi huu mdude una jiko la mkaa labda!!!where did fire come from!!!!!
 
hahahahaha nadhani mfumo wake wa ingine umekaa kama garimoshi la makaa ya mawe yale ya enzi zile za kina
George Stevenston!
 
hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza
Hiyo ndoto ilikua continue everyday lile gari likipita ilikua ni ndoto mbaya iliyonitesa utoto wangu wote nilikua naota linakuja Kwa mbaaali naanza mbio kukimbilia maporini na lenyewe linanifuata popote baasi tabu tupu!
Mang'amu ng'amua ya Ile ndoto yalifanya nilichukie lile gari kiasi kwamba likiwa linapita nikianza sikia mlio naziba masikio mpaka lipite Ili sauti yake isijirewind night!
Utoto raha Sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna kitu niliwahi kukiogopa utotoni kama helicopter...[emoji35][emoji34][emoji34]

Nakumbuka niliwahi kuingia chini ya godoro, kisa helicopter ilikuwa inapita chini chini....inaenda hukoo na kurudi....

Ile siku sitasahau...[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Hizo nadhani hadi Leo madina bado anazipigia town trip! Pamoja na scania 111 na Leyland albion..

Sasa kuna mzee mmoja wanamwita bandeko, inawezekana kibongo bongo yeye ndiye mtu pekee aliyeendesha fiat kwa muda mrefu sana!

Kwa Sasa anavimba na 619 N1, baada ya kuachana na 682..
 
FIAT:Iko Italy kirefu chake ni fabricato of Italiano automobile Torino
Kiwanda kipo mji unaitwa Torino.

IVECO : ipo Uhispania, Poland, Germany , Italy
Mfano Kuna IVECO eurotrakker imetengenezwa na washirika wote hawa
Ndio maana ikaitwa eurotrakker
Makao makuu yako SPAIN
Hawa wengine wanafanya assembling
IVECO MARGIRUS; Ameibuni Mjeruman ila Brand inayotumika ni IVECO but ili ujue kabuni Mjeruman akaongeza MARGIRUS.

MARGIRUS ni gari ya kijerumani hatari sana Kwa wanaoielewa

Kwenye zile Fiat Kuna
110
682N3
682N4
Ndio zilikuja Africa Kwa wingi
Huku kwetu Kuna Fiat namba D unaweza kufanya utalii
 
Hizo nadhani hadi Leo madina bado anazipigia town trip! Pamoja na scania 111 na Leyland albion..

Sasa kuna mzee mmoja wanamwita bandeko, inawezekana kibongo bongo yeye ndiye mtu pekee aliyeendesha fiat kwa muda mrefu sana!

Kwa Sasa anavimba na 619 N1, baada ya kuachana na 682..
Hizi zote nimeendesha
 
Back
Top Bottom