Niliidharau sana Fiat kumbe ni kampuni hatari

Mkuu miaka ya 89 kuna prof mmoja(KAISI)alikuwa na saloon car FIAT ina dashboard ya 220km/h nilishangaa sana.
 
ile sauti ya mbaula nilikuwa naogopa kuisogelea hata ikiwa sirencer nikidhani inaweza lipuka na moto ikawaka.
... enzi hizo tunaishi Arusha, kabla ya hizi baby walkers zinazoongeza foleni mjini kuwepo, ikifika alfajiri majira ya saa 11 basi yote yanawashwa at par mji mzima ni kelele kila kona! Kila raia anajua kumekucha na ile baridi na giza la Arusha yalisaidia kama "reminder"; watoto waende shule, wafanyakazi waende kazini! Ha ha ha; ilikuwa raha sana! Magari ya wasomali na mamirungi yao.
 
Si kweli. Fiat na Jeep ndiyo zipo chini ya conglomerate inayoitwa Stellantis

Iveco wanajitegemea
Fiat anamiliki 100% ya hisa zote za iveco(tangu 1980) na Fiat huyo huyo anamiliki Jeep(tangu mwaka 2014) hivyo akaziunganisha nguvu zizalishe matoleo kwa pamoja. Yaani kwa kifupi iveco na Jeep zimebaki kama brand name tu basi.

Sent from my PIC-LX9 using JamiiForums mobile app
 
Boss, unachanganya mambo; na haupo updated.

“Iveco was incorporated on 1 January 1975, with the merger of five different brands: FIAT Veicoli Industriali (with headquarters in Turin), OM(Brescia, Italy), Lancia Veicoli Speciali (Italy), Unic (France), and Magirus-Deutz(Germany).[3]

Naona hiyo Fiat Veicoli Industrial ndiyo unayoiongelea? Kama ndivyo, hiyo ilikuwa ni subsidiary tu ya parent Fiat. Na huwezi kusema Fiat anamiliki 100% ilhali hapo inasema kuwa hizo subsidiary brands zilikuwa merged kutengeneza Iveco, an industrial vehicle brand.

Pia, umeangalia lakini hiyo conglomerate? Official Global Website | Stellantis

Cheki na hapa uone Iveco ownership IVECO Brands

Iveco wapo wenyewe. Na Jeep ipo chini ya umiliki wa Stellantis kama unavyoona kwenye hii attached screenshot.

DC5676CB-373A-4447-BAE0-B4C7197EF832.jpeg
 
View attachment 2073448
1974 - The majority shareholding in Magirus Deutz is bought by Fiat V.I. to simplify the creation of a European commercial vehicle group. 1975 - Foundation of the Iveco company. 1980 - Magirus Deutz sells its remaining share in Iveco (18%) to Fiat, and Iveco becomes a 100% subsidiary of Fiat SpA.

IVECO Brands › ckd › pages

Fiat Iveco Milestones

When Fiat and Chrysler became Fiat Chrysler Automotive, Jeep became an FCA brand. So, if you are wondering who owns Jeep, it's still Fiat Chrysler. That merger was in 2014. So, for over half a decade Jeep remained property of the FCA corporate entity.23 Aug 2020

MotorBiscuit › doe...

Does Fiat Chrysler Own Jeep? - MotorBiscuit.com

Sawa
 
Back
Top Bottom