Mi nilikua nayaogopa sana hasa ya mafuta, yalikua yananijia pia ndotoni[emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza
Hiyo ndoto ilikua continue everyday lile gari likipita ilikua ni ndoto mbaya iliyonitesa utoto wangu wote nilikua naota linakuja Kwa mbaaali naanza mbio kukimbilia maporini na lenyewe linanifuata popote baasi tabu tupu!
Mang'amu ng'amua ya Ile ndoto yalifanya nilichukie lile gari kiasi kwamba likiwa linapita nikianza sikia mlio naziba masikio mpaka lipite Ili sauti yake isijirewind night!
Utoto raha Sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza

hahahahaha hatari Sana!Mi nilikua nayaogopa sana hasa ya mafuta, yalikua yananijia pia ndotoni[emoji23][emoji23][emoji23]
hahahah Ndio Hivyo Mkuu ndoto za utotoni zinafurahisha Sana!hahhha ndoto bana hata ujifiche uvunguni gari itapenya huko huko itakufuata mm hadi leo naota ndoto mbovu nikishiba sana ugali wa donna usiku
hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza
Hiyo ndoto ilikua continue everyday lile gari likipita ilikua ni ndoto mbaya iliyonitesa utoto wangu wote nilikua naota linakuja Kwa mbaaali naanza mbio kukimbilia maporini na lenyewe linanifuata popote baasi tabu tupu!
Mang'amu ng'amua ya Ile ndoto yalifanya nilichukie lile gari kiasi kwamba likiwa linapita nikianza sikia mlio naziba masikio mpaka lipite Ili sauti yake isijirewind night!
Utoto raha Sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hahahahaha nadhani mfumo wake wa ingine umekaa kama garimoshi la makaa ya mawe yale ya enzi zile za kinayaani hapa sasa ndio naamini binaadamu wote sio sawa ila kuna vitu tunaendana.
hali hii nilikuwa nayo mimi pia,sijui ilikuwa inasababishwa na nini!!!!
kuna gari moja mbaula nalo lilikuwa linabeba mkaa,lile goma lilikuwa kuchemsha ni swala la kawaida,na madereva wanalalamika siti zinachemka sana,sasa nikawa nahisi huu mdude una jiko la mkaa labda!!!where did fire come from!!!!!
Siyo ivecoHakuna kampuni inaitwa fiat tena. Walibadikisha jina kwa sasa inaitwa volvo. Na inamilikiwa na matajir kutoka sweden.
Iveco waliunganisha nguvu na Jeep kwa kuwa kampuni zote ni matawi ya hao hao Fiati.
Hakuna kitu niliwahi kukiogopa utotoni kama helicopter...[emoji35][emoji34][emoji34]hahahahahah wewe jamaa umenikumbusha mbali Sana Hilo mbaula nilipokua mdogo Kuna mbaula lilikua linapita pale home likitokea makambako kwenda Njombe nadhani lilikua la kampuni flani aiseee ule mdude ulikua kama train aiseee yaani likiwa kilimita mbili utalisikia mlio wake wa ajabu basi huwezi amini lile mashine nilikua nikilala usiku naota linanikimbiza
Hiyo ndoto ilikua continue everyday lile gari likipita ilikua ni ndoto mbaya iliyonitesa utoto wangu wote nilikua naota linakuja Kwa mbaaali naanza mbio kukimbilia maporini na lenyewe linanifuata popote baasi tabu tupu!
Mang'amu ng'amua ya Ile ndoto yalifanya nilichukie lile gari kiasi kwamba likiwa linapita nikianza sikia mlio naziba masikio mpaka lipite Ili sauti yake isijirewind night!
Utoto raha Sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good Better BestFabbrica Italiana Automobilli Torino
Hizi zote nimeendeshaHizo nadhani hadi Leo madina bado anazipigia town trip! Pamoja na scania 111 na Leyland albion..
Sasa kuna mzee mmoja wanamwita bandeko, inawezekana kibongo bongo yeye ndiye mtu pekee aliyeendesha fiat kwa muda mrefu sana!
Kwa Sasa anavimba na 619 N1, baada ya kuachana na 682..
Duh! Kamba ya mchana kabisa! Fiat na Iveco ni kampuni mbili tofauti. Iveco imeanza baada ya Fiat kuwepo. Fiat bado ipo na Iveco bado ipoKuna mdau amenirekebisha hapa. Nilichnganya majina kidogo.. ila.ni kwamba sweden waliinunua kampuni ya fiat wakabadilisha jina to iveco.
Si kweli. Fiat na Jeep ndiyo zipo chini ya conglomerate inayoitwa StellantisIveco waliunganisha nguvu na Jeep kwa kuwa kampuni zote ni matawi ya hao hao Fiati.
Sasa hapo Kuna madini gani?respect GT. Nimeongeza madini mengine kichwani