Niliingia kwenye mahusiano na binti wa miaka 19

Mbona Watoto Wengi wanalelewa hivyo na wanatoka,uyo hakuna kumpa nafasi tena ni msaliti na umri wake mdogo ngoja apate somo kwanzj
 
Usiangalie future yake tu angalia na future yangu pia.Kuishi na binti ambaye ameshafanya usaliti na kumfanya kuwa mke wa ndoa hapo baadaye unaona ni sawa?
Harudii tena huyo, ameshaona ujinga wake unavyoweza mkost. Shida ilikuwa umri.
 
Acha ujinga wewe mwanamke wa above 26 yrs thinking capacity yake ni kubwa mno kuliko huyo wa 18-24! Wengi wanajitambua above 26 yrs...unless wawe watoto wa uswahilini kama keko ndio hata akiwa na miaka 40 bado anakuwa mpuuzi puuzi!
 
Acha ujinga wewe mwanamke wa above 26 yrs thinking capacity yake ni kubwa mno kuliko huyo wa 18-24! Wengi wanajitambua above 26 yrs...unless wawe watoto wa uswahilini kama keko ndio hata akiwa na miaka 40 bado anakuwa mpuuzi puuzi!
Hivi kwanini cc wa swahili tulio wegi lazima ukiwa na mawazo au mtazamo kizani na mtu mgine lazima utukane? Nimalezi au elimu?
 
Ndo maana nauliza ni mazingira au makuzi ndo yanao tufanya tuaone kama sio matusi?
Tafuta tafsiri ya maneno hayo,mjinga na mpuuzi si matusi labda ungequote mrejesho ambao umetumia lugha ya matusi.Ila siwezi kukataa kwa Tanzania ni kwamba wengi wanatmia matusi hasa katika kujenga Hoja Zao.
 
Mkuu nakushauyi rudiana nae endelea nae

Jenga urafiki na mke wako.. hata hapo siku za badae hata kufanyia usaliti. Mapenzi ukichabganya na ubest au urafiki na akiwa anakupenda kweli itamuwia vigumu kukusaliti hapo baade.

Endelea nae huo ni umri sahihi kabisa wa kuwa nae!
 
Mkuu nakushauri kabisa tafuta binti mwenye umri kidogo ambao anaona ni mda wa kujenga familia tofauti na hivo utaendelea kulia lia tu kila siku, me sitamani kusimulia yanayonitoke mpaka sasa kwa kibinti chenye umri kama huo huo, Huwa wanajiona kuwa bado wanao mda wa kutosha wa kuponda raha na niwaigizaji wazuri wa mapenzi, kuchapiwa kuko nje nje, napigilia msumari ACHA KABISA
 
Mkuu natamani unijuze japo kidogo yanayoendelea kwako.Ina maana hapatakuwa na namna kabisa ya kumdhibiti mpaka atakapofikisha walau 25? Kwa hiyo ni bora mtoto abaki kwa mama yake na nianze maandalizi ya mke mwingine (mtoto wa nje).Hakuna uwezekano wa kutulia siku za mbele? Au baada ya kujifungua? Wa kwako mna mtoto/watoto?
 
Tambua bado yupo kwenye uvunjaji ungo,kuvunja ungo ni mchakato hivyo bado yuko kwenye foolish age,mchukue mlee hadi atakapojifungua na umuoe kabisa kama imani yako ni kwamba atabadilika.Nasema kama imani yako inakuonyesha atabadilika,kwasababu suala la usaliti miaka hii,ni vigumu kuachwa kwasababu ya maendeleo ya sayansi na teknolojia ikiwa ni kigezo mojawapo,wakikumbukana,watafanya tu.
 
Tulijenga urafiki huo na kusamehe lakini tulipgwa kitu kizito awa viumbe awaeleweki
 
Uyo sio Mtabiri kaka,za kuambiwa changanya na zako
 
Unaandika kama mvulana wa miaka 13, sio kama mwanaume wa miaka 31...yaan vice versa.
 
Hatuna mtoto ila hajatulia kabisa hata fariki zake wamejaribu kumshauri kwa njia yoyote lakini haiwezekani imefika pahara rafiki zake wa karibu wakanambia kuwa huyo anadanganywa na umri lakini bia ndio mda ambao anajifunza tabia mbaya ambazo matokeo yake yatakuja kuwa mabaya kwenye familia baadaye maana tabia haibadiriki, msichana anaanza kujitunza na kujiheshimu akiwa katika umri huo ila ukaona anabcheat kwa nyakati hizo na yupo na wewe basi me la kukushauri tafta njia ya kumkwepa ingawa sikushauri kuvunja uhusiano ila fanya mpango wa kutatua tatizo hulo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…