mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi,
Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self.
Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya Halley Davidson au Kawasaki na harufu yake kama mmelala usingizi utakata tu,
Akienda msalani ni nyumba nzima harufu ya ajabu