Na ndiyo maana Mzungu akakuvunja mguu[emoji23]Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi,
Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self.
Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya Halley Davidson au Kawasaki na harufu yake kama mmelala usingizi utakata tu,
Akienda msalani ni nyumba nzima harufu ya ajabu
Ha haha dah umefikiria nini sijuiKuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi,
Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self.
Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya Halley Davidson au Kawasaki na harufu yake kama mmelala usingizi utakata tu,
Akienda msalani ni nyumba nzima harufu ya ajabu
Mbali na aibu, pia unywaji wa maji mengi na kuzingatia mlo bora inachangia kutotoa harufu za ajabu ajabu hususani unapokwena msalani au kutoa hewa chafu.Yes, wengine tuna aibu
Alikuwa mtu wako? Ila mbona ulimkubali sasa? Ulipenda mashuzi yake.Wanawake wengi wameumbwa na aibu hawezi kutoa shuzi tuu mbele ya mpenzi wake. Kuna huyo kaka jamani alikuwa anatoa mashuzi bila hata aibu, anatoa mashuzi yananuka kama umelala hadi usingizi unakata sipendi kabisa yaani
Kuna mtu anayependa kusikia mashuzi ya mwenzie?? Mkuu hakuna mtu atakayeachia mashuzi siku unamfahamu anasubiri mpaka pale kakuzoea ndio anaonyesha tabia yake, laiti kama nikijua kabla ya kuwa na mahusiano aisee siwezi kumkubalia kabisa ni tabia mbaya mnoAlikuwa mtu wako? Ila mbona ulimkubali sasa? Ulipenda mashuzi yake.
Vipi mimi kuna mmoja anajamba mbele yangu hii ni ishara ya nini?Yes, wengine tuna aibu
Kwa hiyo baada ya kukutumia alivyotaka, kukueuza geuza kama chapati na kukuzoea, akaona ndiyo muda wa kuonesha tabia (kukutolea mashuzi) yake sasa!!! [emoji23]Kuna mtu anayependa kusikia mashuzi ya mwenzie?? Mkuu hakuna mtu atakayeachia mashuzi siku unamfahamu anasubiri mpaka pale kakuzoea ndio anaonyesha tabia yake, laiti kama nikijua kabla ya kuwa na mahusiano aisee siwezi kumkubalia kabisa ni tabia mbaya mno
Tutumie picha ya huyo demu na namba zake za simu tukusaidie kujua sababu za ushuzi wake kutosikika na kutotoa harufu. then tutakupa mrejesho.Kuna wanawake wasiri sana miaka mitatu sikuwahi kusikia,kuona wala kusikia harufu ya mashuzi,
Hata akienda chooni hakuna harufu iliyokuwa ikivuka chumbani iwe hotelini au nyumbani,kumbuka vyumba ni self.
Kivumbi kwa somoe binti wa mwananyamala sitamsahau anaachia mashuzi live kama pikipiki ya Halley Davidson au Kawasaki na harufu yake kama mmelala usingizi utakata tu,
Akienda msalani ni nyumba nzima harufu ya ajabu
Kijamba ukiwa usingizini Kwani uko ndani ya uwezo wa mtu, Kuna mtua asiyejamba akiwa usingizi na hata wewe si unajamba mashuzi na hio ndio maana ya uvumilivu wa ndoa.Kuna mtu anayependa kusikia mashuzi ya mwenzie?? Mkuu hakuna mtu atakayeachia mashuzi siku unamfahamu anasubiri mpaka pale kakuzoea ndio anaonyesha tabia yake, laiti kama nikijua kabla ya kuwa na mahusiano aisee siwezi kumkubalia kabisa ni tabia mbaya mno