Niliishi na mwanamke miaka mitatu sikuwahi kunusa wala kusikia akipumua mashuzi

Kuachia mashuzi au kwenda kujisaidia na kutoacha ustaarabu wa kimazingira ni aina ya uchafu kama uchafu mwingine.

Kujamba ukiwa na mwenzako halafu maharufu yakasambaa na mwenzako akayanusa ni ushamba kama mwingine tu na ni kukosa adabu.

Kwenda chooni kujisaidia na kisha kuruhusu mwenzako akapata ile harufu ya shughuli zako ni matokeo ya kutokuwa na nidhamu na kutojiheshimu.

Huyo mwanamke anajitambua na ana adabu sana na wewe. Miaka mitatu ameweza kukupa taswira kuwa yeye ni msafi muda wote hiyo itakufanya uwe very comfortable ukiwa nae. Ni rahisi sana kuwa na ustaarabu kwa mwenzako na asipate kero ya harufu za ajabu. Ni sehemu ya kuheshimiana na kuishi kwa adabu na kufanya uwe na mvuto kwa mwenzako zaidi.

Weka ratiba yako ya kukata gogo muda ambao mwenzako atakuwa aidha ametoka au yupo busy na kazi.

Jifunze kumpisha mwenzako chumbani bila kuongea chochote. Ukiona kaingia washroom wewe toka hata uende nje kujinyoosha ili umpe privacy ya kujilipua.

Hakikisha bafuni kuwe na maji ya kutosha, na marashi ya kuleta harufu nzuri hapo ndani. Kuwe na usafi wa muda wote.

Ukibanwa na ushuzi nenda nje tafuta kona nzuri achia shuzi lako then rudi ndani kwa mwenzako ukiwa hauna hewa chafu. Kumjambia mtu ni ishara kuwa hauna adabu kwake na hauna heshima nae. Hivi unaweza kumjambia baba yako au mama yako au mkweo au boss wako, au mchungaji wako au mufti wako? Why sasa umjambie mtu muhimu kama mwanaume/mwanamke wako?

Anyways, tuwaheshimu wapenzi wetu wanaotuheshimisha hapa duniani.
 
Otikiii 🤪 aisee🤣😃
 
Mbali na aibu, pia unywaji wa maji mengi na kuzingatia mlo bora inachangia kutotoa harufu za ajabu ajabu hususani unapokwena msalani au kutoa hewa chafu.
Mtu breakfast anapiga mayai ya kuchemsha, maziwa, mkate, maharage halafu anashushia na mtindi baadae. Balaa lake hapo akiachia shuzi. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuna vyakula ukiona umekula tengeneza mazingira ya kukaa mbali na watu.
 
Kuna wengine wanasema ni mapenzi... kwamba binti analalamika dume lake linamuachia mashuzi kwa makusudi. Kuna wanaume wenzetu mapimbi sana (kwa mtazamo wangu).!
 
Mwanangu unachekesha sana ww ni bonge la comedian.
 
Nilikua porini siku moja na jamaa raia wa Canada sasa tupo ndani ya gari nimekunywa juice imeisha si nikatupa box nje ile mazoea .akasema Noo that's no good for environment. Sasa chaa ajabu tumeteremka tunaongozana kuelekea sehemu jamaa anajamba puu puu yuko tu ooh sorry. Nikajisemea tu moyoni hawa watu weupe ustaarabu zero kabisa.
 
Ungemwambia tu na wewe vipi mkuu mbona unachafua mazingira...?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…