Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

Pole mkuu. Ulijisahau kwa maneno mazuri ya wakwe zako ukadhani ni ndugu zako wa damu. Wakuu mali zipo dom, natafuta mahali nipeleke ukweni. 24,000 na 22,000 tu
 

Attachments

  • IMG_6628.jpeg
    1.2 MB · Views: 4
  • IMG_6627.jpeg
    1.6 MB · Views: 4
We jamaa ni mtu
 
Hakuna balaa yoyote kwenye hilo
Oa mdogo wake au cousin yake ili uwe bado na familia hiyo
Dunia yenyewe hii na maisha yenyewe haya
Hakuna balaa hapo ila endeleza undugu tu
Hii ipo sana hata kwenye mila nyingi

Ongea na mama mkwe
 
😲😲🤔
 
hapo huna nyumba,chaps lapa.Kaanze maisha mapya.Kama MNA watoto waachie hi yo nyumba
 
Hii gari hukuwahi kuiona? Mbona inazunguka sana kuhamasisha tusijenge ukweni?
 
Waachie watoto usiuze hiyoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…