Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Halafu ujue nina safari ya kuja Lindi January. Ama ulishahama?Ujue wewe unanimaliza kweri kweri,nipe basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ujue nina safari ya kuja Lindi January. Ama ulishahama?Ujue wewe unanimaliza kweri kweri,nipe basi
Bado nipo, January ya tarehe ngapi ?maana Niko likizo mwanzaHalafu ujue nina safari ya kuja Lindi January. Ama ulishahama?
Nitakuambia tarehe PMBado nipo, January ya tarehe ngapi ?maana Niko likizo mwanza
Sawa,so nikute napasha Kwa ajili ya shughuli ngumu?Nitakuambia tarehe PM
We jamaa ni mtuPole Sana kwa kufiwa na mkeo. Kama ulibarikiwa kupata watoto na huyo mkeo Marehemu basi chukulia hiyo ni Mali ya watoto, na kama unataka kuoa mwanamke mwingine ni salama zaidi kwenda kutafuta sehemu nyingine ya kuishi na huyo mwanamke wako, . Pole sana
Alikuwa anasinzia huyuuDoh,ndio shida ya kudoj kwenye vikao vya wanaume
Unadhania watakubali aibomoe Mkuu..Kiufupi hapo huna chako,hiyo nyumba umeitoa sadaka,au labda ubomoe
🤣🤣🤣 kwa kweeli.Mkuu inaonekana kwenye vikao vya wanaume huwa unachelewa au huwa unasinzia
Yamekukuta sasa
😲😲🤔Wakuu ndiyo ipo hivyo
Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.
Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.
Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.
Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?
Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?
Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?
Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?
Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
naloba nini ee ?Mbona wewoooooooooooooooooooooo
Ndio paka kabisa vumbi liendelee kukolea.Sawa,so nikute napasha Kwa ajili ya shughuli ngumu?
hapo huna nyumba,chaps lapa.Kaanze maisha mapya.Kama MNA watoto waachie hi yo nyumbaWakuu ndiyo ipo hivyo
Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.
Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.
Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.
Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?
Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?
Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?
Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?
Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Waachie watoto usiuze hiyooWakuu ndiyo ipo hivyo

Zonga libala eeKasongo wewooo nangali nangali mbona wewooo