Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,901
- 3,941
hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mtoro huyu, sasa ngoja aisome namba, kwa taarifa tu hapo huwezi kuoa mwanamke mwingine ukamletaHahahaaa yaani unajenga kwenye kiwanja cha zawadi kutoka ukweni? Kwani vikao vyenu vile huwa hauhudhurii?
Wala amna tatizo kabsa ukisha tamka kwamba umetoa zawadi iyo ni imeisha.. anacho takiwa kufanya uyu bwana kama kitanuka ni aweze kuthibitisha tu kwamba icho kiwanja baba mkwe alitoa kama zawadi ivyo inabaki kua subject to wanandoa na sio baba mkweHahahaaa yaani unajenga kwenye kiwanja cha zawadi kutoka ukweni? Kwani vikao vyenu vile huwa hauhudhurii?
Ungetafuta ushauri kabla ya kujenga . Hapo jomba maji yashamwagika hesabu maumivuWakuu ndiyo ipo hivyo
Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.
Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.
Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.
Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?
Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?
Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?
Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?
Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Kama wewe ni muislamu omba wakupe/wakuozeshe dadamtu au mdogomtu au hata binamu ya mkeo uendeleze ukoo maana hakuna ujanja hapo unless uwe na makaratasi ya makabidhiano kisheriaWakuu ndiyo ipo hivyo
Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.
Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.
Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.
Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?
Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?
Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?
Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?
Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Yakutunga kuwaumiza watu akili.....tumestukaaWakuu ndiyo ipo hivyo

Mbona kama umemstahi kumuita ng'ombe..Mbojo kabisaBora ingekufa hii ng'ombe
Sio poa Mwamba kuita mwenzio Ng'ombe😀😀😀😀ongezea ng'ombe isiyo na masiwaaaaBora ingekufa hii ng'ombe
Yaan kujenga ukweni? HahahgaaSio poa Mwamba kuita mwenzio Ng'ombe😀😀😀😀ongezea ng'ombe isiyo na masiwaaaa