Nilijenga kwenye kiwanja cha familia ya mke wangu sasa bahati mbaya mke wangu huyo amefariki

Wakuu ndiyo ipo hivyo

Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.

Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.

Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.

Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?

Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?

Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?

Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?

Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Pole Sana kwa kufiwa na mkeo. Kama ulibarikiwa kupata watoto na huyo mkeo Marehemu basi chukulia hiyo ni Mali ya watoto, na kama unataka kuoa mwanamke mwingine ni salama zaidi kwenda kutafuta sehemu nyingine ya kuishi na huyo mwanamke wako, . Pole sana
 
Hapa itategemea kama ndugu wa mkeo wana roho za namna gani,otherwise hapo pashakua darfur maana ukioa ndo utajua kwanini ndege hawalimi lakini wanaishi!....hata na ivo kusikia kwa kenge mpaka damu imtoke!
 
Wakuu ndiyo ipo hivyo

Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.

Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.

Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.

Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?

Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?

Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?

Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?

Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Kodisha nyumba,ukapange kwingine.
 
Tafuta hati kimyakimya andika jina lako,
Ila wewe ni fala sana, badala ya kutumia akili wewe ulitumia hisia na kuogopa gharama. Pumbavu kabisa
 
Wakuu ndiyo ipo hivyo

Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.

Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.

Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.

Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?

Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?

Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?

Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?

Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.
Nimesoma kichwa cha habari tuu nikaona ni comment sitaki kuumiza kichwa.

Ipo hivi kama hiyo nyumba na kiwanja hakina hati miliki halali inayotambuliwa na serikali ya majina yako hesabu hiyo nyumba na kiwanja siyo vyako.

Ikiwa kiwanja kingekua na hati ya jina lako ungewasumbua watoe nyumba yao kwenye kiwanja chako au mkae muongee au wewe uamue kutoa nyumba yako kwenye kiwanja chako
 
Wakuu ndiyo ipo hivyo

Baba yangu mkwe alibahatika kuwa na uwanja mkubwa sana hivyo aliamua kuufanya uwanja huo kuwa ni uwanja wa familia yake hivyo aliamua kuwagawia kiwanja hicho watoto wake wote kila mtoto wake na kipande chake.

Watoto wake wenyewe wapo sita hivyo kila mmoja akamkatia kiwanja chake na kilichobakia anakaa yeye mwenyewe baba mke na mke wake na ndugu wengine.

Sasa mimi na mke wangu tukaona haina haja ya kununua uwanja mwingine ni bora tu nijenge kwenye uwanja huo huo ili kuokoa gharama ya kununua uwanja mwingine.

Sasa kwa bahati mbaya mke wangu amefariki. Najiuliza maswali mengi sana.
Hatma yangu ni ipi baada ya mke wangu kufariki?

Naweza kuoa mke mwingine na kuishi naye hapa kwenye hii nyumba niliyojenga kwenya kiwanja cha familia alichopewa marehemu mke wangu na baba yake na ndugu wa mke wangu aliyefariki wakaniacha salama kweli?

Je, naweza kuuza nyumba hii niliyojenga kwenye huu uwanja wa familia kweli na ndugu wa mke wangu alifariki wakanielewa?

Naweza kuishi hapa kwa amani kweli?

Mmmmmh! Nimekumbwa na balaa zito sana wakuu.

Maliza msiba,
 
Huwa mnawaza nini kufanya mambo kama hayo? Kama mna watoto waachie..
Huwezi leta mke mwingine hapo utakuja kupata aibu kajenge mahali pengine.
 
Really unajenga kwenye kiwanja cha mwanamke!!! Mimi hata siku nikifa wakinizika kwenye kiwanja cha mwanamke nitafufuka siku hiyo hiyo nitahamisha kaburi ni bora hata nikajizike baharini...
 
Km mmebarikiwa watoto bas iache iwe zawadi kwa watoto ww ondoka ukaanzishe maisha upya usibomoe wala usijadiliane chochote na wakwe jifanye tu km mjinga uone wao watakwambia nn

Waswaili wanakwambia usiwe wa kwanza kurusha ngumi utaonekana mgomvi acha wao waanze kurusha ngumi
 
Daah! Hadi nimekuonea huruma.

Hapo andika maumivu tu Mkuu ikiwezekana tafuta eneo lingine ukaanze upya hapo waachie tu. Ili kuepusha kelele na mifarakano ambayo itaibukaa baada ya wewe kufanya moja kati ya hayo mawili iwe kuleta mke mwingine au kuuza.
 
Hii Hain tofauti na ile final ya YANGA 2 & USM ALGER 2 alafu USM ALGER kachukua ubingwa shirikisho..
Dah Dunia hii yaan umejenga kabisa ukweni na kiwanja Cha urithi na ndugu zake pia wamejenga hapo hapo na babayake anaishi hapo hapo na mlivyokuwa mkigombana au kupishana mnayaongelea hapo hapo na mkeo baada ya kufariki unafikiria kuoa uishi hapo hapo na familia ya mkeo nao wanamuona mke wako mpya hapo hapo.
Na Anyway kila la heri kiongozi
 
Pole sana kwa msiba, na pole pia kwa maoni ya wadau hapa jamvini mana wamekutwanga kweli. Kama walivyoshauri watu una option zifuatazo;
1. Kama mmezaa basi waachie wanao hiyo nyumba lakini hakikisha kuna maandishi kuwa ni nyumba ya watoto usiache kimya kimya inaweza kupokonywa. For the time being kama ni wadogo ipangishe ikusaidie ada
2. Kama kuna mtoto wa kike hapo kwenye ukoo wao wakuozeshe uendeleze familia hapo utaweza kuishi nae hapo
3. Ukioa mwanamke ambaye si wa ukoo wao usimlete hapo
4. Usiuze hiyo nyumba wala usiivunje ni ukumbusho wa binti yao aliyefariki, kama wakikudhulumu basi mwachie Mungu atakulipa nyengine.
 
Katika mambo ambayo mzee wangu alinishauri wakati nataka kuoa ni hii issue usijenge kwenye kiwanja ambacho umiliki ni wa mke.
Pole sana kaanze upya umepoteza hiyo nyumba
 
Back
Top Bottom