Nilijiapiza mjini nitarudi kutembea tu, lakini hapa nimelalia maboksi baada ya kuungua na maisha ya kijijini

Afadhali weye umelala kwenye maboksi.Mimi nimekesha natembea kutoka kijijini kwetu.Naweza kufika mjini labda keshokutwa.Nitanunua chumvi tu halafu nageuza kurudi kijijini kwetu.
 
Pole sana maisha ni mapambano fani Yako inahitajika sana mjini kuliko kijijini..kama haujaoa hiki kipindi cha kulalia mabox ndio kizuri kutafutia mke usiogope kuingizwa demu ghetto.

Wako katika ujenzi wa Taifa
 
Pole sana maisha ni mapambano fani Yako inahitajika sana mjini kuliko kijijini..kama haujaoa hiki kipindi cha kulalia mabox ndio kizuri kutafutia mke usiogope kuingizwa demu ghetto.

Wako katika ujenzi wa Taifa
nnae mke na mtoto tayari nimewaacha kijijini ila wanakuja karibuni
 
Kwanini usije Dar es salaam?
Arusha daaaahhh, napaona pagumu sana kiutag
Arusha nimeishi ndo maana nilikuja nikiwa nimezoea
Japo dar pia nimeishi zaidi ya miaka minne
 
Muda uliotumia ungeingia kwenye siasa na kuwa chawa. Kazi ikawa kusifu sifu wakubwa . Ungekuwa mbali sana
 
Daaah mtu anataka kua tajiri ndani ya miezi 5 tu.basi hata mjini ukaze kweli kweli
 
Kijijini ni shamba na jembe tu ufundi wako uwapelekee illiteracy society utawasaidia Nini.!?
 
Njoo ujaribu huku DSm.Nitakupokea uangalie stuation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…