KWA hali hio uwe na vyanzo vingine vya ziada Ili usife njaa,pia ikuboost kwenye Kazi hio uifanyayo.Shida babu ni internet na usafiri wa gari moja kwa siku kwenda mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KWA hali hio uwe na vyanzo vingine vya ziada Ili usife njaa,pia ikuboost kwenye Kazi hio uifanyayo.Shida babu ni internet na usafiri wa gari moja kwa siku kwenda mjini
Afadhali weye umelala kwenye maboksi.Mimi nimekesha natembea kutoka kijijini kwetu.Naweza kufika mjini labda keshokutwa.Nitanunua chumvi tu halafu nageuza kurudi kijijini kwetu.Ilikuwa ni mwezi wa saba sikumbuki tarehe ndo niliaga JF na kuelekea kijijini nikitokea Dar, baada ya kumaliza mafunzo ya ufundi, na nikijiapiza mjini ntarudi kutembea tu. Lakini hapa ninapoandika huu ujumbe nipo nimelalia maboksi kwenye geto la kupanga baada ya kuungua na maisha ya kijijini huku nikiwa na ujuzi wangu vizuri tu. Kwanza kabisa mimi ni fundi - simu, radio, umeme wa majumbani. Natengeneza video mbali mbali na vitu vingi vingi tu vinavyotumia umeme.
Changamoto za kijijini:
Ndo vimenifanya leo hii nimelala kwenye mabox na vifaa vyangu vya kazi hapa Arussha mjini leo hii
- Upatikanaji haraka wa diode au spea za maredio tv nk.
- Umbali wa kuvifikia nauli 12000 kwenda na kurudi.
- Intaneti, unapokuwa unahitaji msaada wa kiufundi kupitia google
- Kazi za msimu
- Wateja wengi ni malialia n.k
Asanteni nawasilisha
Pole sana maisha ni mapambano fani Yako inahitajika sana mjini kuliko kijijini..kama haujaoa hiki kipindi cha kulalia mabox ndio kizuri kutafutia mke usiogope kuingizwa demu ghetto.Ilikuwa ni mwezi wa saba sikumbuki tarehe ndo niliaga JF na kuelekea kijijini nikitokea Dar, baada ya kumaliza mafunzo ya ufundi, na nikijiapiza mjini ntarudi kutembea tu. Lakini hapa ninapoandika huu ujumbe nipo nimelalia maboksi kwenye geto la kupanga baada ya kuungua na maisha ya kijijini huku nikiwa na ujuzi wangu vizuri tu. Kwanza kabisa mimi ni fundi - simu, radio, umeme wa majumbani. Natengeneza video mbali mbali na vitu vingi vingi tu vinavyotumia umeme.
Changamoto za kijijini:
Ndo vimenifanya leo hii nimelala kwenye mabox na vifaa vyangu vya kazi hapa Arussha mjini leo hii
- Upatikanaji haraka wa diode au spea za maredio tv nk.
- Umbali wa kuvifikia nauli 12000 kwenda na kurudi.
- Intaneti, unapokuwa unahitaji msaada wa kiufundi kupitia google
- Kazi za msimu
- Wateja wengi ni malialia n.k
Asanteni nawasilisha
nnae mke na mtoto tayari nimewaacha kijijini ila wanakuja karibuniPole sana maisha ni mapambano fani Yako inahitajika sana mjini kuliko kijijini..kama haujaoa hiki kipindi cha kulalia mabox ndio kizuri kutafutia mke usiogope kuingizwa demu ghetto.
Wako katika ujenzi wa Taifa
Niko hapa mkuuNatafuta vijana 5 manunda kweli,kazi yetu itakuwa ni kuvamia popote penye pesa,hakuna kucheka na mtu niza kichwa tu
Sahihi.Nipo hapa nimevimba mapaja na naendelea kutetemeka mwili.Pol
Pole sana usikate tamaa mpendwa
Sawa bado wa3Niko hapa mkuu
Ukiwa serious nitafute .Natafuta vijana 5 manunda kweli,kazi yetu itakuwa ni kuvamia popote penye pesa,hakuna kucheka na mtu niza kichwa tu
Mwalimu ana maisha magumu kila sehemuKijijini labda uwe bwana mifuko,mwenyekiti wa kijiji,mfanyabiashara wa mazao,mkulima,fundi ujenzi,Mwalimu,fundi pikipiki na baiskeli kinyume na hapo utaliwa kichwa[emoji276]
Yeye kazi yake ni kuchakatwa tuLazima ucheke! Maana wewe uko kwenye kundi la wale watu wanaokula, bila ya kutoka jasho!
Nadhani umenielewa vizuri. Hivyo sina sababu ya kuingia ndani zaidi.
😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimechekaa sanaaa.
Njoo ujaribu huku DSm.Nitakupokea uangalie stuationIlikuwa ni mwezi wa saba sikumbuki tarehe ndo niliaga JF na kuelekea kijijini nikitokea Dar, baada ya kumaliza mafunzo ya ufundi, na nikijiapiza mjini ntarudi kutembea tu. Lakini hapa ninapoandika huu ujumbe nipo nimelalia maboksi kwenye geto la kupanga baada ya kuungua na maisha ya kijijini huku nikiwa na ujuzi wangu vizuri tu. Kwanza kabisa mimi ni fundi - simu, radio, umeme wa majumbani. Natengeneza video mbali mbali na vitu vingi vingi tu vinavyotumia umeme.