Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23] dah mkuuu umefikia viji vya wapi uko arusha mnkIlikuwa ni mwezi wa saba sikumbuki tarehe ndo niliaga JF na kuelekea kijijini nikitokea Dar, baada ya kumaliza mafunzo ya ufundi, na nikijiapiza mjini ntarudi kutembea tu. Lakini hapa ninapoandika huu ujumbe nipo nimelalia maboksi kwenye geto la kupanga baada ya kuungua na maisha ya kijijini huku nikiwa na ujuzi wangu vizuri tu. Kwanza kabisa mimi ni fundi - simu, radio, umeme wa majumbani. Natengeneza video mbali mbali na vitu vingi vingi tu vinavyotumia umeme.
Changamoto za kijijini:
Ndo vimenifanya leo hii nimelala kwenye mabox na vifaa vyangu vya kazi hapa Arussha mjini leo hii
- Upatikanaji haraka wa diode au spea za maredio tv nk.
- Umbali wa kuvifikia nauli 12000 kwenda na kurudi.
- Intaneti, unapokuwa unahitaji msaada wa kiufundi kupitia google
- Kazi za msimu
- Wateja wengi ni malialia n.k
Asanteni nawasilisha
Mm nilidhani umerudi mjini kuja kufata spare za watu kumbe umekimbiaaaTayari nipo mjini broo
Naomba nimlete kijana angu umfundishe kaz hzo za ufundi mmkuu naomba sana kjn yuko atusha pale paleNashukuru sanaaa broo kwani kijiji kizima fundi mwenye vifaa na utaalamu ilikuwa ni mm pekee lakini ndo hivo maslahi yamenifanya niondoke
Sidhani kama ni kweli hilo huku hatujuani muache bint wa watu achekee mkuuLazima ucheke! Maana wewe uko kwenye kundi la wale watu wanaokula, bila ya kutoka jasho!
Nadhani umenielewa vizuri. Hivyo sina sababu ya kuingia ndani zaidi.
Wew kijana wa arusha ndio unaongea ujinga gani wew s ulisema kwemu maisha ni bora na baba ako alikuwa tajiri huku dsm. Kumbe wee ni kibakaNatafuta vijana 5 manunda kweli,kazi yetu itakuwa ni kuvamia popote penye pesa,hakuna kucheka na mtu niza kichwa tu
Rafiki yangu huyu. Tunajuana! Na yeye kuna maeneo yake huwa ananipiga sana madongo.Sidhani kama ni kweli hilo huku hatujuani muache bint wa watu achekee mkuu
Ukiwa kwenu ni vigumu kutoboaKijijini ni nyumbani
Ana maanisha kwenye kundi la ke au me hayupoSidhani kama ni kweli hilo huku hatujuani muache bint wa watu achekee mkuu
Maana yake nimeondoka kijijiniShida broo kijiji chetu sh
ida kubwa ni mtandao wa.interneti maana ujuzi wa siku hizi unategemea saana mtandao piakuna kaujinga fulani unako nilivo kusoma.
kijijini kutengeneza jina mpaka kufanikiwa kunachukua mda na mda ukifika basi kila mtu hata kupa kazi wewe na si mwingine.
kijijini unaweza kuanza na ziro na ukafikia kuwa hero.sababu mtaji utakuwa haraka mda unavozidi kwenda na utakuwa na ushindani mdogo.
kijijini unaweza kuwa wewe ndio muhasisi hapo nenda vijiji vingi utakuta walioanzisha kitu ndio matajiri wa hapo vijijini.
Na wengi wao huwa ni wageni sababu huja na mawazo mapya kupitia fursa wanazoziona.kuna kaujinga fulani unako nilivo kusoma.
kijijini kutengeneza jina mpaka kufanikiwa kunachukua mda na mda ukifika basi kila mtu hata kupa kazi wewe na si mwingine.
kijijini unaweza kuanza na ziro na ukafikia kuwa hero.sababu mtaji utakuwa haraka mda unavozidi kwenda na utakuwa na ushindani mdogo.
kijijini unaweza kuwa wewe ndio muhasisi hapo nenda vijiji vingi utakuta walioanzisha kitu ndio matajiri wa hapo vijijini.