Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

Japo ni kweli kwamba ke wengi wanakera wakishajipata au kufanikiwa kwenye ndoa wanakua jeuri,viburi n.k!

Lakini kwa ajili ya watoro hakupaswa kufanya hivyo!!

Watoto japo wakikua husema hakuna kama mama ,pia uwezeiano was sisi me kuyala matunda ya watoto Huwa no mdogo!

Angekusitiri kwasababu ya manhood tu coz naturally sisi ni defender and protector was families!!

So sad!
 
Kutana nae mbele ya ndugu zake na ndugu zako! Na aseme hapo sababu za kuondoka!.Sio vibaya pia watoto wakimjua baba yao mpuuzi!...akikuball kutoa matunzo pokea lakini sio kurudiana nae tena.
 
Kama ni kweli umepitia haya,
Wafaa kuitwa super woman. Sijui mkasa wenu mpk yeye kukusakizia mtoto sio wake, ila kwa nini arudi baada ya miaka 5?

Iwe mwanamke, iwe mwanaume acheni tamaa na watu au vitu visivyo vya msingi. Upatapo mtu atakae kupenda na kubeba madhaifu yako mshikilie. Dada nakushauri kamwe usirudie matapishi kama bado mpk sasa hamjarudiana. Watoto mnaweza kushirikiana kuwa lea ila usimruhusu arudi kwenye maisha yako.
 
ungetuambia kwamba alikutuhumu nini hadi akaondoka
hawezi kuondoka bila sababu
ila pole kwa yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…