Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Kwanza mwanamke kua mlevi wa inadisqualify Moja kwa Moja kufit nafas ya MKE wa TU.

Uyo mwanamke anatatiz la malezi, Mama ake amekua kwenye malezi ya hovyo, kamrithisha mwanae.

Ndo maana Kuna nyuzi kibao humu watu wanaponda kuoa binti kutoka familia zilizolelewa na single mother.

Wanawalisha Sana sumu watoto wao kuhusiana na maswaa ya ndoa na mahusiano.
 
Ni better mtu ukiwa na hasira unywe maji au utoke nje ukatembee mbali kuanza kurushiana maneno huharibu kabisa mambo. Hasira zikipungua ndio muongee
Unafaa sn kua mshaur sahii wa maswala ya ndoa.

Tukiongea wanaume tunaonekana tunawakandamiza na mfume dume,

Ila wanasahau kua nature Ndo imeselect iwe hivyo.
 
Hii stori imelalaia upande mmoja hii.

Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.

Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.

Mtoa mada Kuna kitu unatuficha

Na ndoa ya miezi 4 anasema aimeipigania sana [emoji4][emoji4] kuna watu wananyanyasika miaka 10 yupo tu ndani.
 
Hii stori imelalaia upande mmoja hii.

Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.

Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.

Mtoa mada Kuna kitu unatuficha
Ameshasema yeye ana mdomo pistor unategemea nini hapo kama sio vita
 
Nd
Hii stori imelalaia upande mmoja hii.

Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.

Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.

Mtoa mada Kuna kitu unatuficha

Hata mimi nlikuwa naoan ili huu uzi ubalanc lazma kuskiliza pande zote
 
Ka
Kabxaa mkuu...ungeweza niitia kijana anajiita extrovert angepata japo moral lesson hapa maana kuna uzi kanikomalia sanaa kuhusiana na namna ya ku handle mwanamke mwenye uchumi uliozid ule wa mme wake
 
Mkuu unaongea kwa hisia kali. Pole kwa yaliyokusibu.
 
Uzi ufungiwe hapa na kila anaesoma huu uzi hili liwe kama rejeleo
 
Sasa huyu ni mfano mmoja tu wa wanawake walio wengiii.....yaan mwanamke akishajiweza kiuchumi dharau na mkomo pistol kama mtoa mada havikosiii...yaan kimbilio letu ni kutafuta pesa tu
 
Sasa huyu ni mfano mmoja tu wa wanawake walio wengiii.....yaan mwanamke akishajiweza kiuchumi dharau na mkomo pistol kama mtoa mada havikosiii...yaan kimbilio letu ni kutafuta pesa tu
Hahahahahahah hapo hamna namna, ni kukimbia msala au kutafta mawe tu😅
 
Hahahahahahah hapo hamna namna, ni kukimbia msala au kutafta mawe tu😅
Hahah!ila hata mwamba kakazaa sanaa...we shangaa mwanamke ni mtu wa kuficha sanaa tabia zake ila hapa kajitanabahisha kuwa mtaani alikuwa kapewa jina la mdomo pistol....imagn mwamba alikuwa anaishije na hicho kiumbe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…