Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Hivi are you serious, mtu Hana kazi afu unamlaumu eti anajisahau.

Inamaana jamaa anafanya kusudi anaficha Ela au?
Ndio namlaumu unaoaje mke bila kuwa kazi au jambo lolote lakukuingizia kipato, kwetu ukija kuoa bila kazi unafukuzwa kabisa, wazee walikuwa na akili kuangalia hivo, Sasa vijana hamtaki kazi na unaoa lazima mgombane tu, hata Mimi kwangu ka mwanangu anataka kuoa na hana kitu Cha kumuingizia kipato namnyima kabisa, vijana jishuhgulisheni kuepuka kero za binadamu wa binafsi wa zama hizi, Mimi mwenyewe ni mwanamke siwezi tegemea mwanaume niishi na mikono na nina fanya kazi
 
Umesoma ulichojibu ama kwakua tayari una jibu lako?

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Nmekujibu ulposema
"...sinapa kwenda Wala Sina Cha kufanya"

Maana ukiona una mwanamke mkigombana anakimbilia kauli Kama zako, ujue Kuna kitu kinampa jeuri.

Na jeuri ya hivo,
Dawa yake Ni kumucha aende zake mdo maana nkakujibu vile
 
Nyie wanawake Ni wepesi wa kulaumu,

Unasema jamaa angekua anatimiza majuku yake,
Hivi Anatimizaje majukum yake ilhali mfukoni kumetoboka?

Au mnajisahaulisha kua mtoa mada keshasema jamaa hakua na kazi.
Hivi unajua kuwa ukiwa mwanaume Ni mwanaume Sasa kwamfano huyo dada asingekua na kaz je watoto wangelala njaa? Sio kwamba mwanaume alibweteka kwa kuona kuwa mkewe ana kazi na anamkono wa kutoa na kumhudumia familia??. Wanaume huwa mnajisahau Sana mkipata wanawake watoaji
 
Ndio namlaumu unaoaje mke bila kuwa kazi au jambo lolote lakukuingizia kipato, kwetu ukija kuoa bila kazi unafukuzwa kabisa, wazee walikuwa na akili kuangalia hivo, Sasa vijana hamtaki kazi na unaoa lazima mgombane tu, hata Mimi kwangu ka mwanangu anataka kuoa na hana kitu Cha kumuingizia kipato namnyima kabisa, vijana jishuhgulisheni kuepuka kero za binadamu wa binafsi wa zama hizi, Mimi mwenyewe ni mwanamke siwezi tegemea mwanaume niishi na mikono na nina fanya kazi
Ukiangalia kwa makini,
Hiyo Ndoa kalazimisha mwanamke.

Ndo maana mwanzoni kabisa kasisitiza mahali, Pete, harusi vyote kagharamia mwanamke.
 
Hivi unajua kuwa ukiwa mwanaume Ni mwanaume Sasa kwamfano huyo dada asingekua na kaz je watoto wangelala njaa? Sio kwamba mwanaume alibweteka kwa kuona kuwa mkewe ana kazi na anamkono wa kutoa na kumhudumia familia??. Wanaume huwa mnajisahau Sana mkipata wanawake watoaji
Siwez kusema mwanaume alibweteka.

Kuna Mahal mtoa mada anasema alikua mchakalikaji sana na alkua na alfungua biashara tofauti tofauti.

Maana ake Uzi biashara aliweka watu Baki wamsaidie, akimuacha mume wake ashinde TU na rimoti nyumban.

This is not fair kwa mtu unayedai mnaependana sana, na kuangalia future yenu pamoja.

Ni ubinafsi wa Hali ya juu Sana mnafanya wanawake.
 
Kuna tatizo mahali,

Mwanzo mwisho wa Hii stori mwanamke anaongelea kugharamia matumizi yote panapohitajika pesa.

Mwishoni kabisa Anashauri wanawake waolewe na wanaume wachapakazi.

Ukirejea mwanzoni, anatumbia mwanaume wake aliachishwa kazi (he was jobless).

Ila kuna mahali kasema yeye alikua na kazi ilokua inampa kipato cha kutosha mpk Cha kugharamia nyumbani, Pete, HARUSI na ndoa n.k

Ila sijaona kokote alikoonyesha juhudi za kumkwamua mwanaume wake kiuchumi ili wasonge wote mbele.

angalau kusema kamtaftia mtaji afungue genge, au kumuunganisha na kazi fulani jamaa akagoma kwenda kuifanya.

Mtoa mada Ni Aina ya wanawake wanaotaka mwanaume FINISHED PRODUCT.

Ni mwepesi Sana wa kulaumu mwenzie kutokua na kazi au kujishughulisha.
Wakati hajampa nyenzo wala Njia yoyote ya atokee wapi.

Mtoa mada
Ni sawa na kina ndugai wanaposema vijana wajiajili, serikalini hamna ajira. Wakati hawajawatengenezea nyenzo yoyote wahitimu Hawa kujiajili.
Umesahau pale aliposema ali cheat kwa sababu kazini alikutana na wanaume wachapakazi lkn wa kwake yupo tu nyumbani hajishghulishi.

Yaani alicheat kwa sababu mwanaune wake hana kazi. Utaona huyu ni mwanamke wa namna gani.
 
Ukiangalia kwa makini,
Hiyo Ndoa kalazimisha mwanamke.

Ndo maana mwanzoni kabisa kasisitiza mahali, Pete, harusi vyote kagharamia mwanamke.
Kwanini huyo kaka alikubali?
Sikuhizi wanawake Wana gharamia ndoa ila ndio utajua huko ndani.
Sasa huyo mwanaume handsome mke andunje hapo lazima wagombane maana mwanamke hajiamini lazima apepete mdomo na aoe mwanaume.
 
CHINI YA JUA HILI HAKUNA NDOA YENYE AMANI WAKATI MWANAUME HANA PESA..

Yote haya tatizo ni Moja tu mwanaume hana Pesa tutazunguka sana na kushauri sana lakini PESA NDIO JAWABU LA MAMBO YOTE.
 
Umesahau pale aliposema ali cheat kwa sababu kazini alikutana na wanaume wachapakazi lkn wa kwake yupo tu nyumbani hajishghulishi.

Yaani alicheat kwa sababu mwanaune wake hana kazi. Utaona huyu ni mwanamke wa namna gani.
Wewe unadhani alitoa utamu kwa mwanaume kisa tu ana kazi??? Hapa sababu alijua atapata HELA.
 
Nisingeona hizo picha ningesema ni story kama mlizokuwa namaandika mkiwa chuoni.

Pole sana bibie ila kazi gani ulikuwa unaenda asubuhi wakati umetoka kulewa?
 
CHINI YA JUA HILI HAKUNA NDOA YENYE AMANI WAKATI MWANAUME HANA PESA..

Yote haya tatizo ni Moja tu mwanaume hana Pesa tutazunguka sana na kushauri sana lakini PESA NDIO JAWABU LA MAMBO YOTE.
[emoji1621] maneno ya busara Sana mzee wa kimasihara
 
Kwanini huyo kaka alikubali?
Sikuhizi wanawake Wana gharamia ndoa ila ndio utajua huko ndani.
Sasa huyo mwanaume handsome mke andunje hapo lazima wagombane maana mwanamke hajiamini lazima apepete mdomo na aoe mwanaume.
Kumbe tunakubaliana Sasa mwanamke ndo tatizo[emoji2]. [emoji106]
 
Kwanini huyo kaka alikubali?
Sikuhizi wanawake Wana gharamia ndoa ila ndio utajua huko ndani.
Sasa huyo mwanaume handsome mke andunje hapo lazima wagombane maana mwanamke hajiamini lazima apepete mdomo na aoe mwanaume.
Wanaume tuna huruma Sana,
jamaa alimhurumia mpenz wake wa miaka mingi.

Ila uskute hakua type yake.

The was so handsome, japokua picha imefichwa.
 
Wanaume tuna huruma Sana,
jamaa alimhurumia mpenz wake wa miaka mingi.

Ila uskute hakua type yake.

The was so handsome, japokua picha imefichwa.
Msiwe mnaingia kwenye mahusiano kisa kuhurumia mtu huku humpendi lazima mtesane au mje mgawane majengo ya serikali tu.
Jamaa ni handsome na tall sana, dada mfupi unategemea nini Sasa hapo struggle kwa kwenda mbele, pia dada anapenda mdomo sana, Mimi hata nikikaa na mdada mwenye mdomo namfungia vioo akizidi Nampa kichapo tu basi
 
Umesahau pale aliposema ali cheat kwa sababu kazini alikutana na wanaume wachapakazi lkn wa kwake yupo tu nyumbani hajishghulishi.

Yaani alicheat kwa sababu mwanaune wake hana kazi. Utaona huyu ni mwanamke wa namna gani.
Uyu alkua Ni mwanamke kipengele Sana.

Nampongeza sana jamaa kwa maamuz ya kiume kutokubali kufedheheshwa na mdomo pistol,

Suala la kumpiga makofi lilikua halikwepeki kwa mwanamke mpuuz Kama yule.

Ukitafakari, utagundua
Kuna mengi katuficha khs mahusiano yake.

Uskute alkua anacheat Kisha anawaleta wanaume Hadi ndani kwasababu Kodi analipa yeye.
 
Too much maneno hukwaza na kuharibu mambo, ni heri ukiwa na hasira usiongee heri kupigwa kuliko mtu anayetukana na kuongea maneno yanayo kwaza moyo
Ubarikiwe sana mkuu,
hizi ndo busara Sasa wanawake mnatakiwa kufundishana.

Ndoa za Mashindano always hazinaga mwisho mzuri.

Umeongea point[emoji106]
 
Back
Top Bottom