Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Pole sana mleta mada

Ila itoshe tu kusema kwamba hakuna mwanaume yeyote anayeweza kuvumilia matusi rejareja (mdomo pistol wako) kutoka kwa mwanamke wake regardless unamtunza wewe. We cherish our pride kwa wivu mkubwa hata kama mfukoni kumetoboka.

Pia most men if not all will never really forget and forgive once wana ushahidi 100% kwamba umecheat kwa kumvulia chupi njemba nyingine - no matter the circumstances. Deep down hili kosa huwa halisameheki hata kama atakuchekea usoni.

Mungu akutangulie mbele ya safari yako ya maisha. Usije kufanya kosa la tatu kujaribu kurudiana na yule bwana. Hiyo biashara is done and dusted
 
Umenielewa vibaya kama una mindset kwamba ukifa bora pesa wale ndugu zako na una watoto na huyo mume na hufikirii kuinvest kwa watoto wako na unafikiri ndugu zako wanaweza kuwatunza wanao kama nyie mnavyowatunza, You are doomed! That is the fact kama unabisha bora kubisha ni sawa ila ukweli unaujua mwenyewe. Na siyo kila mtu anayekueleza opinion yake ni marioo!! Wewe shikilia uferminism wako usiinvest kwa watoto.
Nawewe unanielewa vyema nagonga kwenye nyanja gani... siku njema

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Bora uliyejisepea,huku watu huvumilia mpaka wauawe,waue au wajiue.
Na Kuna wengine wanavumilia na Mambo yanakuwa mazuri to yeye . Kuna jamaa yangu wa karibu alikuwa kicheche na mlevi balaa. Mke kavumilia karibia miaka 10 anasali anamwombea mme wake. Ghafla mme kabadilika, Kawa mtulivu mtu wa kujali familia kaachana na maovu Yale.
Kila mtu alishangaa tukabaki kuitukuza utukufu wa aliye juu. Hakika atakayevumilia mpaka mwisho, ndiye atakayeokoka.
 
Hafu hii tabia ya jamii ku force watu wabaki kwenye mahusiano kinguvu ni tatizo linalofanya watu wavumilie shida huku wakiwa wanateseka mioyoni mwao
Ahhh Yani sijui jamii imekuaje alafu wana Ile tabia ya kusema kuwa ndoa ikivunjika mwanamke ndo mwenye matatizo so ameachwa ahhh. Huyo Kaka angekua anatimiza majukumu take sidhani Kama yote haya yangetokea.
 
Ahhh Yani sijui jamii imekuaje alafu wana Ile tabia ya kusema kuwa ndoa ikivunjika mwanamke ndo mwenye matatizo so ameachwa ahhh. Huyo Kaka angekua anatimiza majukumu take sidhani Kama yote haya yangetokea.
Wanaume nao sikuhizi wanajisahau majukumu Yao kama head of family, wanataka walelewe, na bado waku cheat na kukupiga pia wakupige kipigo Cha mbwa koko
 
Wanaume nao sikuhizi wanajisahau majukumu Yao kama head of family, wanataka walelewe, na bado waku cheat na kukupiga pia wakupige kipigo Cha mbwa koko
Mi ndo nisingefika huku kwa huyu dada maana sipendagi majeraha y kujitakia.
 
All women who messed up there marriage come up thinking they are marriage expert . Trust me they all have a role to play in there failures . And it’s a no mans land . If she was good and good guy could have showed up . And it couldn’t reach this far . A decent woman can’t go single .
 
Sielewi hata unatetea nn
Sasa insecurity za mwanaume ndo ajihami? Tukubaliane hapakua na Mapenzi hapa. Kila mru abaki na chake

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Mapenzi yalikuepo, na yasingekuepo wasingekua wanarudiana kila mara.

Back the story,
Hawa walkua na history ndefu San kwny mahusiano yao (tangu wako chuo, almost 10yrs back)

Sasa unapata wapi ubavu wa kusema kupakua na mapenzi?
 
Tufanye mimi sijui haya,niambie ww viapo vya ndoa vinasemaje?

Nani anapenda kulelewa........? hivi partner wako umeanza mahusiano yupo vizuri kiuchumi na huduma anatoa vizuri....... ila kuna vipindi (vinaweza kuwa virefu au vifupi) anapitia changamoto za kiuchumi.... hivi huyu utasema anapenda kulelewa?

Ila si shangai kwenye swala 50/50 mnalolipigania hali include kipato chenu bali cha mwanaume.
Kabisa,
Yaan mwanaume ukiyumba TU kidogo tayar ishatafsilika unalelewa.

Ndo maana mi huwa nasema, hela ya mwanamke hapana.

Hata niyumbe vipi, sitamwambia want kua nimyumba.

Mwanamke akishaijua status yako KIUCHUMI, ataitumia kukunyanyasa kihisia.

Achilia mbali magumu KIUCHUMI alokua anapitia,
Jamaa alkua anapitia pia manyanyaso kisaikolijia maana mtoa mada alikua mdomo pistol
 
Kaka hawa malaya wenye videgree na viajira mavi sana wana dharau sana ndio maana hata hawaolewi afu hapa anakuja kuandika kana kwamba yeye ndio victim wakati yeye ndio kiini cha tatizo
Exactly,
Ukipitia uandishi wake utagundua kua alkua Ni mwanamke asiyefaa kua MKE wa mtu Bali kahaba TU wa kupunguzia nyege.

Sio wanawake wote wanafaa kua wake za watu, wengine waliumbwa kua makahaba.

Uku Kwenye Ndoa Ni kuforce TU.
 
Mwanamke mwenye mdomo usio na breki kupigwa huwa ni swala la muda tu! Tena uwe na mdomo mbele ya mwanaume ambaye hana hela [emoji23] aisee unakitafuta kipondo cha haja!

Unaonesha ni wale wanawake wenye kejeli sana mdomoni mwao...kumzodoa mwanaume hadi anakosa kujiamini yani na kum compare na hao wa kazini kwako..This is the most evil thing that you shouldn’t do to your men ila wengi wenu huu mtihani huwa mnafeli vibaya sana.

Lugha ya staha huwa ni kitendawili kikuu kwenu hasa mkiwa na vijimishahara kila mwisho wa mwezi! Mpe support mtu ila usimsimange hata kidogo
Zamani nikiishi kwa baba angu mdogo, alkua dreva pale Ofisi ya rais-magogoni.
Alkua na MKE wake akifanya kazi pale bandar.

Jpm alipoingia Ikulu,
Jamaa akawa demoted hadi Kua dreva Tamisemi.
Aisee alipitia kipind kigumu Sana KIUCHUMI, ukzingatia alkua mtu wa Bata Sana.
Alkua na kitambi, kilikata chote.

Baadae (2018) akaja rudishwa nafas yake kule kule Ikulu, aisee mambo yalirudu Kama mwanzo.

Ila alichofanya ndani ya wiki TU ya kuanza kazi,
Mzee alimuachisha kazi MKE wake pale bandar, Tena kwa ukali na akampiga adi boss wake mkwara Kama akiendelea na kazi watafikishana pabaya.

Nilimuona Kama mzee muonevu Sana.

Ila nilivokua mkubwa,
Nilikuja gundua aisee huenda mzee alikua sahii japokua hajawai nambia sababu hasa za kumuachisha ile kazi.
 
Wanawake wanachekesha sana, huwa wana demolish psychology ya wanaume kupitia kauli abusive making them feel worthless and useless katika uhusiano yet atakuja aseme hujiamini kisa huna pesa!

Women are good at killing men spirits alive kwa kupitia abusive and harsh language ila hili hawalionagi kama sababu. Making fun of how insecure you have become na kujaribu kukulinganisha na wenzio akina flani dah[emoji85][emoji85][emoji85] life sucked my balls staki kumbuka.

There was a time in life nilipitia hii abuse kama ya mtoa mada with one of my partners na surely ilikuwa mara ya kwanza namzabua mtoto wa kike. Alishanigeuza kama msukule wake full. Hakuamini ila nilimtia makofi sana akagundua kumbe yuko na mwamba heshima ikafata mkondo wake.
Ukiona mwanamke anakulinganisha na wanaume wenzio, maana ake anawatamani.

Apo jibu Ni kumpa kelebu Moja ya maana sana akalale nao mbele.

Upuuz huu sio was kufumbia macho hata kidogo
 
Back
Top Bottom