The unpaid Seller
JF-Expert Member
- Oct 27, 2019
- 2,113
- 6,251
Mtoa mada unatatizo la kimaadili,
Ata Kama ugombane vipi na mme wako, unapata wapi ujasili kwa kumwambia AONDOKE? [emoji116]
"...Nisingejua kuhusu huyo mwanamke nafikiri bado ningekuwa naye. Nikamwambia aondoke. Hiyo ni miezi minne tu baada ya harusi....."
Inamaana unataka kutuaminisha Yule alikua mfugo wako au kibenten wako?
Kwa uzoefu wangu,
Wanawake mkishapata vifedha, na nyinyi mnajiona mmeshakua wababa wa familia.
TWENDE MBELE TURUDI NYUMA, unatatizo la kimaadili.
Hata Kama jamaa ajakuja hapa tukamskia upande wake,
Ila kwa haraka HARAKA nikikusoma herufi kwa herufi uandishi wako, unatabia ya kumdominate mwanaume kwasababu TU umemlisha.
Iyo Ni tabia mbaya
Na HAKUNA MWANAUME alokamilika ATAVUMILIA UPUUZI HUU.
Kaka hawa malaya wenye videgree na viajira mavi sana wana dharau sana ndio maana hata hawaolewi afu hapa anakuja kuandika kana kwamba yeye ndio victim wakati yeye ndio kiini cha tatizo