Hao sio wanaume, Ni wavulana.
Na ndo maana wengi wao bado wanavaa vile vikaptura na kuning'iniza funguo Kwenye luksi kwa vigari vya kuhongwa na wanawake (vitz,ist, rumion, raum n.k)
Tangu dunia iumbwe,
Mwanaume ameubwa Ni provider, na mwanamke Ni msaidizi.
Hizi tabia za kuwataka wanawake na wao wale kwa jasho, ndo zimeleta huu upumbavu.
Na wao wamejiona wamekua vichwa vya familia Sasa Kama wewe Apo mtoa mada
[emoji1787]Eti nikamwambia "ONDOKA..."
Aisee,
Hivi mwanamke anaanzaje sasa kunambia ondoka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaa nikianzaga kuwaza
Hii jeuri kapewa na Nani hasa[emoji848]
Kitakachofuata, Ni yesu tu itabidi aingilie kati[emoji2]