Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Kitu nilichojifunza maishani,ukiona ndoa yoyote haijadumu jua mwanamke ndio tatizo kwa zaidi ya 99%.

Kwa maelezo yako mwenyewe inaonekana wazi wewe ndio tatizo,hata hivyo jamaa alikuvumilia kukumwaga mapema kwa kuwa alikuwa hana kazi-yani nifahamu mwanamke umenicheat halafu niendelee nawe kabda kama umeniwekea limbwata.

Ndio maana mumeo nafsi take ilikuwa inamsuta kwamba anishi vipi na mwanamke aliyemsaliti wazi wazi.
Jamaniii mnyonge,Mnyongeni haki yake mpeni mtoa mada kaandika kwamba jamaa ndie alianza ku cheat au kosa la Mwanaume mwenzenu hamlioni😬😬😬
 
Kama vijana mpk mnaolewa siku hizi mnafikri nn? Wanawake wanapigana nyie mmelala tu. Acha mkomeahwe kwa kuendekeza umariooo

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Hamna mwanaume alokamilka anaweza itaka ela ya mwanamke,

Uyo mume wa mtoa mada ni mitihini tu ya dunia ilimkuta akawa ana jinsi,

na kwa maelezo ya mtoa mada, jamaa hakua marioo kabisa ndo Mana alikua na uthubutu was kusimamia heshima yake isivunjwe kwasababu TU mwanamke anavijisenti.
(Makofi, waliachana na wakarudiana)
 
Hapo ndipo mnapojua wanaume tuna moyo wa kipekee uliojaa upendo. Mwanaume ana uwezo wa kuishi na mwanamke hasiye na kazi na akamtunza kuanzia mke pamoja na familia yake.

Ila mwanamke kumvumilia mwanaume anayepitia changamoto za kiuchumi hamuwezi.

Ndio maana mwanamme akipitia misukosuko ya kiuchumi kuna 90% ya ndoa kivunjika, kwani ndoa imeshikiliwa na sentensi mbili.

1 Shida na raha.
2.ugonjwa na uzima

Dada zangu wanaingia kwenye ndoa na kufurahia kuvaa shela na show off ukumbini huku akiwa hajui hizo sensensi mbili zina maanisha nini.
Ndo maana huwa nawasisitiza wanaume wenzangu tutafute sana Ela.

Heshima na UANAUME wako hautaletwa na SIX PACK, Wala bao sita kitandani.

Hiki kizazi Cha wanawake tulokua nao, sio kile tulichorithi kwa mababu na mabibi.

Heshima yako na UANAUME wako utalindwa na nguvu yako KIUCHUMI.

Kama uisjie kubali kuyumba KIUCHUMI eti kwasababu ya kuyalinda mahusiano na wanawake wa kizazi hiki.
 
Na me ndo niliwaza, maana anasema alianzisha biashara ya daladala, si angempa hata huyo mume aendeshe?

Huyo dada ni mkenya nimeweka link comment ya kwanza kabisa.


Au usikute mume mwenyewe alikuwa na pride, hasaidiki!!
 
Mkui. Marudia tena, biashara yako iwe yako maamaaeee. Yes. She is damnly right. Biashara yangu ukachukue hela ukagongee mademu zako? Yaqn safi sana. Unaambiwa ukitaka mahusiano yenu yaishe salama kila mtu awe na chake. Nimejifunza, hata nikafa bora wale ndugu zangu... mumetufindisha ushenzi. Tunyooshane tu. Ye mwanaume anafanya nn. Ni wanaume wangapi wanavhukulowa mikopo na walimu na manesi kw akuombwa na bado wanatelekezwa? Girl, u did rhe right thing. Hakua anakupenda. Muliishi kimazoea
Imagine biashara zingekua share. Ungekomaaa. Share kafanye kwenu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Unafikiria wale ndugu zako, what if mna watoto naye? Usije ukafikiri unamkomoa mwanaume kumbe unakomoa watoto wako. Hujaona ndugu pande zote wanatelekeza watoto???
 
Pole sana. Tumekua na ubinafsi fulani sisi wazazi wa kuwaza furaha zegu pindi tutakapoachana. Kwamba mwanaume au mwanamke anawaza "Nitakua na maisha bora zaidi nikitengana na huyu".

Huu nauita ubinafsi kwa sababu tunasahau kwamba utafutaji huu wa furaha kwa kuachana, tunaathiri watoto ambao hawana hatia. Baada ya utengano wanaoathirika zaidi ni watoto. Hasa pale mtoto anapokua anaona wenzake na wazazi lakini yeye yupo na mzazi, au wakati mwingine yupo na walezi.

Hili swala linachukuliwa simple sana ila miukweli linaathiri mtoto mpaka anapokua na umri mkubwa.

Tutafute amani kwenye ndoa kwa faida ya watoto waliopatikana kwenye ndoa. Tusijiangalie sisi tukawasahau
 
Naona hujui tabia ya wanaume wenzako siku hizi. They have no pride and no shame at all. Mamarioo wengi mnoo
Hao sio wanaume, Ni wavulana.

Na ndo maana wengi wao bado wanavaa vile vikaptura na kuning'iniza funguo Kwenye luksi kwa vigari vya kuhongwa na wanawake (vitz,ist, rumion, raum n.k)

Tangu dunia iumbwe,
Mwanaume ameubwa Ni provider, na mwanamke Ni msaidizi.

Hizi tabia za kuwataka wanawake na wao wale kwa jasho, ndo zimeleta huu upumbavu.

Na wao wamejiona wamekua vichwa vya familia Sasa Kama wewe Apo mtoa mada

[emoji1787]Eti nikamwambia "ONDOKA..."

Aisee,
Hivi mwanamke anaanzaje sasa kunambia ondoka?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaa nikianzaga kuwaza
Hii jeuri kapewa na Nani hasa[emoji848]

Kitakachofuata, Ni yesu tu itabidi aingilie kati[emoji2]
 
Reading between the lines, hata ingekuwa mimi ningekudunda na tungeachana. Uandishi wako tu leaves a lot to be desired. Ukimsoma mtu vizuri unapata picha ya aina gani yeye yupo...
 
Nimeumia sana lakini.... Sema wanaume mwenzetu kazingua sana!
Ukisoma between lines, utagundua mwanaume mwenzetu Ni wakuonewa huruma Sana.

Jamaa kapitia magumu mengi, Yule hakua mwanamke Bali kahaba TU wa ambiance alolelewa malezi mabovu asikua na adabu hate chembe.

Kwanza tulipaswa kumfanyia sherehe ya kumpongeza kuachana na mwanamke kipengele Kama mtoa mada.

Mwenzetu Dr. Dre ile juzi kasherekea kuvunjika kwa Ndoa yake[emoji4]
 
Reading between the lines, hata ingekuwa mimi ningekudunda na tungeachana. Uandishi wako tu leaves a lot to be desired. Ukimsoma mtu vizuri unapata picha ya aina gani yeye yupo...
Kupitia maandishi yake,
Mtoa mada kasaula mchana kweupe,

kajianika wazi wazi tabia zake za hovyo hovyo ambazo Hakuna mwanaume alokamilika anaweza zivumilia.
 
Ulikosea kurudiana na ex wako huku ukijua tabia zake mbovu na ukiamini kuwa ata change Matokeo yake ikawa ni machungu zaidi, dah nikupe pole umeshajifunza Sasa be careful with life, jipende kwanza wewe ji spoil na life liendee na usijiloge kurudi misri utajutra mara elfu kumi. Pia ulikosea kuwa mlezi wa Huyo mwanaume, anaji feel inferior lazima akutese mpaka basi, na Huyo hakuwa soul mate wako
1. Wewe unaweza kuishi na MDOMO PISTOL?
2. Ina maana mumewe alikua akiamka tu na kutembezea kipigo kama ana MASHETANI?

Aitwe mume nae aseme yake.

#YNWA
 
Back
Top Bottom