Unaeza kuwa sahihi kwa sababu upande wa pili hatujasikia lakini tumpe nafasi kwamba alichotueleza ndicho.. japo kuna viashiria vya upande mmoja kwamba kulikuwa na tatizo mfano hiyo domo pistol besides wanaume hatupendi au tunachukia talkative women balaa..Hii stori imelalaia upande mmoja hii.
Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.
Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.
Mtoa mada Kuna kitu unatuficha
Kuna tatizo mahali,Unaeza kuwa sahihi kwa sababu upande wa pili hatujasikia lakini tumpe nafasi kwamba alichotueleza ndicho.. japo kuna viashiria vya upande mmoja kwamba kulikuwa na tatizo mfano hiyo domo pistol besides wanaume hatupendi au tunachukia talkative women balaa..
Mada akileta Mwanamke Jf ni lawama😬Sema nae nadhani alijua pesa inaweza kumtuliza MwanaumeKuna tatizo mahali,
Mwanzo mwisho wa Hii stori mwanamke anaongelea kugharamia matumizi yote panapohitajika pesa.
Mwishoni kabisa Anashauri wanawake waolewe na wanaume wachapakazi.
Ukirejea mwanzoni, anatumbia mwanaume wake aliachishwa kazi (he was jobless).
Ila kuna mahali kasema yeye alikua na kazi ilokua inampa kipato cha kutosha mpk Cha kugharamia nyumbani, Pete, HARUSI na ndoa n.k
Ila sijaona kokote alikoonyesha juhudi za kumkwamua mwanaume wake kiuchumi ili wasonge wote mbele.
angalau kusema kamtaftia mtaji afungue genge, au kumuunganisha na kazi fulani jamaa akagoma kwenda kuifanya.
Mtoa mada Ni Aina ya wanawake wanaotaka mwanaume FINISHED PRODUCT.
Ni mwepesi Sana wa kulaumu mwenzie kutokua na kazi au kujishughulisha.
Wakati hajampa nyenzo wala Njia yoyote ya atokee wapi.
Mtoa mada
Ni sawa na kina ndugai wanaposema vijana wajiajili, serikalini hamna ajira. Wakati hawajawatengenezea nyenzo yoyote wahitimu Hawa kujiajili.
Mtoa mada ukimsoma kwa makini.Mada akileta Mwanamke Jf ni lawama[emoji51]Sema nae nadhani alijua pesa inaweza kumtuliza Mwanaume
Vitu vingine Ni stress za maisha,Kuna watu huwa wanadhani ndoa inaweza kum badilisha mtu jamaniii Mwanaume akiwa mlevi usitegemee atabadilika baada ya kufunga ndoa haiwezekani
Hafu hii tabia ya jamii ku force watu wabaki kwenye mahusiano kinguvu ni tatizo linalofanya watu wavumilie shida huku wakiwa wanateseka mioyoni mwaoAlafu anatokea kiroboto mmoja anasema kuwa single mother Ni kujitakia,Ni kutokujitunza daah. Pole Sana mkuu
Kabisa,Hao wote walioana wakiwa watoto hawakuwa tayari kwa ndoa hata mada yake imeenea Usaliti na majibizano
Umenena Vema kabisa.Mwanaume anaweza tunza mke wake pamoja hata familia yake, ila mwanamke ni ngumu sana kumvumilia mme mwenye changamoto za kiuchumi.
Hapo ndipo utajua sisi wanaume tuna moyo wa pekee sana.