Nilijinunulia Pete, Nikagharamia harusi mwenyewe, Ndoa ikafa baada ya miezi minne

Umenena Vema kabisa.
Mume wa uyu dada kapitia changamoto Sana.

Na Kama na yeye Angelikuja kusimulia humu,
Basi Hali ya hewa ingechafuka Sana humu.
Siku zote wanawake huwaga wanapenda kutafuta huruma kwa watu hasa pindi ndoa au mahusiano ya kivunjika ili kuwa aminisha watu mme wake alikuwa mkorofi na mara nyingi sisi wanaume huwaga hatuwajibu ,kwani tunayo ya kwao mengi bali tuna baki maumivu yetu vifuani mwetu na kuendelea na maisha yetu.
 
Kuna mahali nmesoma unasema baada ya kuachika,
umekua MOTIVATIONAL SPEAKER WA WANAWAKE kuhusina na Mahusiano.

Maana ake umeingia kwenye kile chama cha kina Joyce kiria,

Hivi wanaume tuwe wakweli Basi[emoji4].

Hivi Ni stori gani kutoka kwa type za kina Joyce kiria unaweza kuamini kuhusina na maswala ya mahusiano.

Hivi unamsikilizaje mshauri alieachika kwenye ndoa Mara 3,
maana ake wanaume wote kwake walkua wanamapungufu?
 
Tukasameheana

Sema Ukamsamehe.

Hayupo mwanaume timamu atakusamehe ukishamsaliti huyo sio mwanaume.

Wadada,mwanaume kamili hasamehi usaliti moja kwa moja.Akikusamehe usaliti ujue huna thamani km mwanzo,Ujue una mwanaume dhaifu sana,ujue atalipiza kwa namna nyingine.

Mwenye kusikia na asikie.Huo ndo udhaifu wa mwanaume.Tupo hivyo

Kama ambavyo mwanamke hawezi kutoa hela yake kwa mwanaume bila masimango.Wapo hivyo

Dada zangu ukisaliti ukastukiwa km upo kwenye mahusiano jua kbs ule upendo kwetu sisi haupo.Jua kbs 70% ya wanaume wanakuwa na chuki ambayo hata ukipata ajali kubwa au ukifa leo wanaweza sherekea kimoyomoyo.Huyo ndo mwanaume


Ila maendeleo yamekuja na wanaume dhaifu hili wadada litawasaidiA
 
Usha jisema una mdomo pistol Sasa unategemea Nini hapo [emoji38][emoji38] Dada yangu kuwa mjinga kwa mume wako hakumaanishi wewe ni fala . Dada yangu things are not over japo maumivu yatakupungua ila hichi kitu Hadi unazeeka kitakuumiza
 
KWELI mkuu,
Mimi kupitia uandishi wake unaweza kujua alikua Ni mwanamke anayekera Kama bernad morison.

Mwanamke flani hivi,
Wa Mashindano na kupenda ligi.

Mwanamke flani hivi alikupa Ela yake lazima imuume Sana, na atakusimanga nayo.

Mwanamke flani hivi tulisoma shule ya msingi wanaitwa MWANAMKE SHUPAVU[emoji4]
 
Kmmk aondoke. Unaishi kwangu halaf unaniletea ufala? Cha ajabu hapo nn? Watoto wa kiume mchelemchele
Ukibebwa bebeka. I know some men ambao hulazimisha makosa ili mwanamke ajisikoe inferior. Masemaje? Afukuzwe tena akalelewe na mamake.

Huwezi jenga kwko.

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mkui. Marudia tena, biashara yako iwe yako maamaaeee. Yes. She is damnly right. Biashara yangu ukachukue hela ukagongee mademu zako? Yaqn safi sana. Unaambiwa ukitaka mahusiano yenu yaishe salama kila mtu awe na chake. Nimejifunza, hata nikafa bora wale ndugu zangu... mumetufindisha ushenzi. Tunyooshane tu. Ye mwanaume anafanya nn. Ni wanaume wangapi wanavhukulowa mikopo na walimu na manesi kw akuombwa na bado wanatelekezwa? Girl, u did rhe right thing. Hakua anakupenda. Muliishi kimazoea
Imagine biashara zingekua share. Ungekomaaa. Share kafanye kwenu

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kesho mnadai 50/50,kumbe hata mnachodai hamkijui.

Mwendo wa Changu Changu, Chako Changu.
 
Kesho mnadai 50/50,kumbe hata mnachodai hamkijui.

Mwendo wa Changu Changu, Chako Changu.
Ewaaah, huu ushauri runashauriwa sana siku hizi. Mahusiano hayaeleweki. Unasema uwekeze na partner wako, dk 0 amekuibia kila kitu amekihamishia kungine unabaki unalia na mahusiano yanakufa. Majority ya hizi mambo hufaaa...

Usimpe mwanaume hela

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Kitu nilichojifunza maishani,ukiona ndoa yoyote haijadumu jua mwanamke ndio tatizo kwa zaidi ya 99%.

Kwa maelezo yako mwenyewe inaonekana wazi wewe ndio tatizo,hata hivyo jamaa alikuvumilia kukumwaga mapema kwa kuwa alikuwa hana kazi-yani nifahamu mwanamke umenicheat halafu niendelee nawe kabda kama umeniwekea limbwata.

Ndio maana mumeo nafsi take ilikuwa inamsuta kwamba anishi vipi na mwanamke aliyemsaliti wazi wazi.
 
Hii stori imelalaia upande mmoja hii.

Kila Mara unalalamika vipigo, vipigo, mnyanyaso ila chanzo husemi.

Sitaki kuamini mume wako uyo anamashetani TU, anaamka anakupiga bila Sababu.

Mtoa mada Kuna kitu unatuficha
Point
 
Hapo ndipo mnapojua wanaume tuna moyo wa kipekee uliojaa upendo. Mwanaume ana uwezo wa kuishi na mwanamke hasiye na kazi na akamtunza kuanzia mke pamoja na familia yake.

Ila mwanamke kumvumilia mwanaume anayepitia changamoto za kiuchumi hamuwezi.

Ndio maana mwanamme akipitia misukosuko ya kiuchumi kuna 90% ya ndoa kivunjika, kwani ndoa imeshikiliwa na sentensi mbili.

1 Shida na raha.
2.ugonjwa na uzima

Dada zangu wanaingia kwenye ndoa na kufurahia kuvaa shela na show off ukumbini huku akiwa hajui hizo sensensi mbili zina maanisha nini.
 
pole, ila ulisahau kitu kimoja

kamwe, mwanaume hawezi kumsamehe mwanamke aliyemcheat..

roho ya kusamehe tulipewa wanawake tu.
kaa tulia, jipe muda tafta mwanaume asiyekujua muanze upya
Umenena vema kabisa,
Kucheat kwa mwanaume ni ngumu Sana kusamehe.

Mimi mwenyewe mmojawapo[emoji106]
 

Na me ndo niliwaza, maana anasema alianzisha biashara ya daladala, si angempa hata huyo mume aendeshe?

Huyo dada ni mkenya nimeweka link comment ya kwanza kabisa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…