Nilijua hajui ila nimefanikiwa kupindua meza

Nilijua hajui ila nimefanikiwa kupindua meza

Hivi unajua ni kwa nini amekaa muda wote huo (6 months) bila kukuuliza?
Kuna uwezekano mkubwa alishaamua kujipoza kwa kutoa tunda nje so nae akawa analiwa kama kawaida, kakwambia saivi ili tu usimrudishe kwao.

Sorry to say this bro, lakini kamwe usitegemee huyo mwanamke akupende kama ambavyo alikupenda kabla... Umeona matokeo ya usaliti wako? Ukome
 
Tatizo letu wanawake tukishajua una saliti hata ufanye nini huwezi kurudisha ile thamani ya mapenzi kama awali, kuna dharau fulani na roho ya kisasi inakuwa ndani kwetu, kichwani kwetu kuna kuwa na why?? Nyingine, unakuwa huaminiki tena. Kuna zile wanaita butterflies zinaondoka unakuwa kama hisia kinamna fulani kama zimekata. Yan usitegemee yale mapenzi haswa yatakuwepo kilichobakia ni ku fake upendo maisha yasonge. Msichojua wanaume ndio hicho yan tukishagundua kuna usaliti mapenzi yetu kwenu hayawezi kuwa kama awali never yan kama ni penzi linakuwa limeshakufa kinachobakia ni mazoea tu. Kabla hujafanya usaliti fikiria hizi consequences maana Moyo wa mwanamke ukishaumia unaweza kuamua lolote lile na huwezi kamweeee kurudisha upendo kama awali. Mwisho wa siku unaharibu nyumba yako kwa mikono yako na tamaa za michepuko ambayo wala haina thamani nawe isipokuwa inatizama pochi yako, unakosa mapenzi ya dhati kwa mwanamke wako sababu anakuona mshenzi tu. Mwisho wa siku una kosa mapenzi kwa michepuko (Pochi) na kwa mkeo (Usaliti). Ndoa nyingi za kiafrika zimebakia katika hali ya mazoea tu.
Hahahahahah sasa kama mwanamke anaanza tabia ya kukunyima tendo usitafte solution nje kweli? Hii tabia ya usaliti ni mbaya ndio ila kama mke hakupi chakula cha ndoa ukaridhika inakuwaje?
 
Mimi nachukia uovu, lakini sina hofu na mungu na wala siko karibu na mungu wala sihitaji kuwa karibu yake ili nichukie uovu.
Hii inaonyesha mungu hana jipya amefulia.
Kwa hiyo wewe ni mtu wa namna gani??.
 
Habarini za muda huu wanajamii forum pole na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa
Iko hv hizi siku za hv karibuni nimeona mabadiliko makubwa kwa mwandani wangu wa muda mrefu, moja amekuwa mkimya sana na kukosa ile nuru na
Nisaidie Namba ya mkeo ili nikusaidie kumuweka sawa Kisaikolojia, unajua wewe ni Mwanaume mwenzangu sasa km mzee wa Kanisa sipendi ndoa Yako iingilie dosari,km haitojali weka namba yake PM ili asije akakusaliti.
 
Hakuna mwanamke asie Liwa zama hizi labda chonga mgomba uweke ndani,HAKUNA MWANAMKE WA PEKE YAKO WALA MWANAUME WA PEKE YAKO

Hii kitu watu hua wanasema eti....
"Kama unakula wake za watu na wakwako ataliwa"
"Kama unachepuka na mke wako atachepuka"

Mimi hua sikubaliani kabisa na huu mtazamo.

Kama mke wako ni wa kuliwa ataliwa tuu, uchepuke usichepuke haisaidii chochote! Kuna watu hawajawahi kuchepuka maisha yao yote na wake zao wanarukiwa mbaya kabisa..
 
Habarini za muda huu wanajamii forum pole na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa
Iko hv hizi siku za hv karibuni nimeona mabadiliko makubwa kwa mwandani wangu wa muda mrefu, moja amekuwa mkimya sana na kukosa ile nuru na uchangamfu ambao alikuwa nao sikuzote, pili pindi niwapo mbali amekuwa na taboa ya kutokujibu sms na muda mwingie hata simu nikimpigia kujua Hali ya hapo nyumbani ikoje. Sasa niliporudi ikabidi nimuweke chini nimueleze juu ya tabia hizi na kwamba Nina mpango nimrudishe kwao akapumzike na

Nakuhakikishia bado hujui na hujapindua meza sema mkeo ni akili kubwa, kaona wewe limbukeni utamrudisha kwao na bado ajajipanga.
 
Hii kitu watu hua wanasema eti....
"Kama unakula wake za watu na wakwako ataliwa"
"Kama unachepuka na mke wako atachepuka"

Mimi hua sikubaliani kabisa na huu mtazamo.

Kama mke wako ni wa kuliwa ataliwa tuu, uchepuke usichepuke haisaidii chochote! Kuna watu hawajawahi kuchepuka maisha yao yote na wake zao wanarukiwa mbaya kabisa..
Nakubaliana nawe 100% hapa mitandaoni watu huwa wana uwongo uwongo mwingi sana, ni sawa na wale wanaohamasishaga mapenzi kinyume na maumbile kwa madai KE wa siku hizi wanapenda sana, kumbe ni porojo tupu.
 
Mimi nachukia uovu, lakini sina hofu na mungu na wala siko karibu na mungu wala sihitaji kuwa karibu yake ili nichukie uovu.
Hii inaonyesha mungu hana jipya amefulia.
Nakukumbusha tu ya kua.

MUNGU HADHIHAKIWI HATA KIDOGO KAMWE

Watch ur mouth bro ipo siku utakuja kukubali uwepo wake, upendo wake kwako, huruma yake na uwezo alionao.
 
Hii kitu watu hua wanasema eti....
"Kama unakula wake za watu na wakwako ataliwa"
"Kama unachepuka na mke wako atachepuka"

Mimi hua sikubaliani kabisa na huu mtazamo.

Kama mke wako ni wa kuliwa ataliwa tuu, uchepuke usichepuke haisaidii chochote! Kuna watu hawajawahi kuchepuka maisha yao yote na wake zao wanarukiwa mbaya kabisa..
Mkuu kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia tu lolote linatokea kwenye ndoa/mahusiano,usaliti upo tu hata kwenye vitabu vitakatifu umeandikwa
 
Back
Top Bottom