Nilijua hajui ila nimefanikiwa kupindua meza

Hivi unajua ni kwa nini amekaa muda wote huo (6 months) bila kukuuliza?
Kuna uwezekano mkubwa alishaamua kujipoza kwa kutoa tunda nje so nae akawa analiwa kama kawaida, kakwambia saivi ili tu usimrudishe kwao.

Sorry to say this bro, lakini kamwe usitegemee huyo mwanamke akupende kama ambavyo alikupenda kabla... Umeona matokeo ya usaliti wako? Ukome
 
Hahahahahah sasa kama mwanamke anaanza tabia ya kukunyima tendo usitafte solution nje kweli? Hii tabia ya usaliti ni mbaya ndio ila kama mke hakupi chakula cha ndoa ukaridhika inakuwaje?
 
Mimi nachukia uovu, lakini sina hofu na mungu na wala siko karibu na mungu wala sihitaji kuwa karibu yake ili nichukie uovu.
Hii inaonyesha mungu hana jipya amefulia.
Kwa hiyo wewe ni mtu wa namna gani??.
 
Habarini za muda huu wanajamii forum pole na majukumu mazito ya ujenzi wa taifa
Iko hv hizi siku za hv karibuni nimeona mabadiliko makubwa kwa mwandani wangu wa muda mrefu, moja amekuwa mkimya sana na kukosa ile nuru na
Nisaidie Namba ya mkeo ili nikusaidie kumuweka sawa Kisaikolojia, unajua wewe ni Mwanaume mwenzangu sasa km mzee wa Kanisa sipendi ndoa Yako iingilie dosari,km haitojali weka namba yake PM ili asije akakusaliti.
 
Hakuna mwanamke asie Liwa zama hizi labda chonga mgomba uweke ndani,HAKUNA MWANAMKE WA PEKE YAKO WALA MWANAUME WA PEKE YAKO

Hii kitu watu hua wanasema eti....
"Kama unakula wake za watu na wakwako ataliwa"
"Kama unachepuka na mke wako atachepuka"

Mimi hua sikubaliani kabisa na huu mtazamo.

Kama mke wako ni wa kuliwa ataliwa tuu, uchepuke usichepuke haisaidii chochote! Kuna watu hawajawahi kuchepuka maisha yao yote na wake zao wanarukiwa mbaya kabisa..
 

Nakuhakikishia bado hujui na hujapindua meza sema mkeo ni akili kubwa, kaona wewe limbukeni utamrudisha kwao na bado ajajipanga.
 
Nakubaliana nawe 100% hapa mitandaoni watu huwa wana uwongo uwongo mwingi sana, ni sawa na wale wanaohamasishaga mapenzi kinyume na maumbile kwa madai KE wa siku hizi wanapenda sana, kumbe ni porojo tupu.
 
Mimi nachukia uovu, lakini sina hofu na mungu na wala siko karibu na mungu wala sihitaji kuwa karibu yake ili nichukie uovu.
Hii inaonyesha mungu hana jipya amefulia.
Nakukumbusha tu ya kua.

MUNGU HADHIHAKIWI HATA KIDOGO KAMWE

Watch ur mouth bro ipo siku utakuja kukubali uwepo wake, upendo wake kwako, huruma yake na uwezo alionao.
 
Mkuu kikubwa ni kujiandaa kisaikolojia tu lolote linatokea kwenye ndoa/mahusiano,usaliti upo tu hata kwenye vitabu vitakatifu umeandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…