Hawezi kuliwa mi namjua vizuri sana mke wangu na hapa hii wiki yote ni mwendo wa kumpa mazawadi tu na maouting ya kutoshaHata kama ana hofu ya shetani analiwa tu.
Labda awe mvutoless.
Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Namjua vizuri sana na wala hawezi nisaliti nilishapitia nae mengi hawezi kamweHivi unajua ni kwa nini amekaa muda wote huo (6 months) bila kukuuliza?
Kuna uwezekano mkubwa alishaamua kujipoza kwa kutoa tunda nje so nae akawa analiwa kama kawaida, kakwambia saivi ili tu usimrudishe kwao.
Sorry to say this bro, lakini kamwe usitegemee huyo mwanamke akupende kama ambavyo alikupenda kabla... Umeona matokeo ya usaliti wako? Ukome
Omba sana mkeo asiwe mtu wa kisasi maana anaweza kulipa hata ikipita miaka 10Hawezi kuliwa mi namjua vizuri sana mke wangu na hapa hii wiki yote ni mwendo wa kumpa mazawadi tu na maouting ya kutosha
Ni kweli huyu wangu ni mtu wa kusali sana na kuna muda huwa najistukia sana nikimsaliti Sema basi ndio hvyoHamna wanawake wagumu kuliwa kama wacha Mungu wakweli.
Kua karibi na Mungu, kunamuondolea Roho ya kisasi +Ashiki anakua hana.
Tofauti nahawa wengine.
Lakini hajathibitisha hilo either kwa kunikuta na sms au chat zozote na huyo mtu, uzuri mm huwa nafuta chat zote na michepuko yangu plus huwa sisevu majina yao kwenye simu ambayo huwa naitumia yapo kwenye Google drive kwahyo hata yeye alikuwa kama bado hana uhakika hv hivyo alivyokuwa ananiuliza ilikuwa kama kunitega nijichanganyeTatizo letu wanawake tukishajua una saliti hata ufanye nini huwezi kurudisha ile thamani ya mapenzi kama awali, kuna dharau fulani na roho ya kisasi inakuwa ndani kwetu, kichwani kwetu kuna kuwa na why?? Nyingine, unakuwa huaminiki tena. Kuna zile wanaita butterflies zinaondoka unakuwa kama hisia kinamna fulani kama zimekata.
Yan usitegemee yale mapenzi haswa yatakuwepo kilichobakia ni ku fake upendo maisha yasonge. Msichojua wanaume ndio hicho yan tukishagundua kuna usaliti mapenzi yetu kwenu hayawezi kuwa kama awali never yan kama ni penzi linakuwa limeshakufa kinachobakia ni mazoea tu.
Kabla hujafanya usaliti fikiria hizi consequences maana Moyo wa mwanamke ukishaumia unaweza kuamua lolote lile na huwezi kamweeee kurudisha upendo kama awali. Mwisho wa siku unaharibu nyumba yako kwa mikono yako na tamaa za michepuko ambayo wala haina thamani nawe isipokuwa inatizama pochi yako, unakosa mapenzi ya dhati kwa mwanamke wako sababu anakuona mshenzi tu. Mwisho wa siku una kosa mapenzi kwa michepuko (Pochi) na kwa mkeo (Usaliti). Ndoa nyingi za kiafrika zimebakia katika hali ya mazoea tu.
😄😄😄😄Mwenzako nae ameshapata comfortability ya kuCheat....sasa cha kufanya wewe shikilia bomba vizuri gari inaelekea kwenye makorongo
Yani ataliwa huyoo aiseeh......anyway usisahau mrejesho
Hawezi ni mtu ambae na first pevu, sio mtu wa kukurupuka kuamua jambo. Pia ananipenda sana mm pamoja na mtoto wetu na siku zote huwa anasema kamwe hawezi kuwa sababu ya familia hii kusambaratikaOmba sana mkeo asiwe mtu wa kisasi maana anaweza kulipa hata ikipita miaka 10
Pole sanaa, Sema basi ndio hivo!!Ni kweli huyu wangu ni mtu wa kusali sana na kuna muda huwa najistukia sana nikimsaliti Sema basi ndio hvyo
Mm huwa ananipa tena sana tu Sema muda mwingine kutokana na majukumu nakuwa mbali na home hivyo inabd nijipooze kidogoHahahahahah sasa kama mwanamke anaanza tabia ya kukunyima tendo usitafte solution nje kweli? Hii tabia ya usaliti ni mbaya ndio ila kama mke hakupi chakula cha ndoa ukaridhika inakuwaje?
Hii hapa +256(01)23789456Nisaidie Namba ya mkeo ili nikusaidie kumuweka sawa Kisaikolojia, unajua wewe ni Mwanaume mwenzangu sasa km mzee wa Kanisa sipendi ndoa Yako iingilie dosari,km haitojali weka namba yake PM ili asije akakusaliti.
Ni kweli na wajua wanaume ambao ni watulivu sana hawanywi hata pombe ila wake zao wanalewa mpaka wanalala baa au kubebwa kurudishwa nyumbani na wana jirahisisha kwa wanaume wengine vibaya mnoHii kitu watu hua wanasema eti....
"Kama unakula wake za watu na wakwako ataliwa"
"Kama unachepuka na mke wako atachepuka"
Mimi hua sikubaliani kabisa na huu mtazamo.
Kama mke wako ni wa kuliwa ataliwa tuu, uchepuke usichepuke haisaidii chochote! Kuna watu hawajawahi kuchepuka maisha yao yote na wake zao wanarukiwa mbaya kabisa..
Kipi kilichopelekea umsaliti huyo mkeoHawezi ni mtu ambae na first pevu, sio mtu wa kukurupuka kuamua jambo. Pia ananipenda sana mm pamoja na mtoto wetu na siku zote huwa anasema kamwe hawezi kuwa sababu ya familia hii kusambaratika
Pamoja, mara nyingi nikiwa home huwa nashiriki na familia kwenye mambo mbalimbali Sema kusali huwa sijazingatia sana ingawa huwa ananisisitiza sana,nitaanza na hili maana nilikuwa sio mtu wa kushiriki nae pamoja ila hayo mengine huwa namfanyia maana napenda sana kumjali mke na mwanangu wakati wote sometimes huwa naingia jikoni nampikia chakula hasa wali Sato ya nazi anapenda sanaPole sanaa, Sema basi ndio hivo!!
Anza kushiriki naye kusali , muwe mnasali pamojaaa ,mpe kampani anavyosali.
Yaan muonyeshe kua umefanya badiliko toka ndani ya roho, hapohapo ukimfanya aendelee kujua kua Usaliti na Kisasi ni dhambi.
Usimchunguze wala nn
Usishike simu yake mara kwa mara kwa lengo la kuchunguza .
Kama kuna kitu alikuambia ulomfanyia Mchepuko na yeye hijamfanyia, Mfanyie kikubwa zaidi...
MTIE MARA KWA MARA, UKIMSIFIA KUA " WIFE K YAKO HII TOKA NIZALIWE NDIO INAYONIWEZEA SANAAAA NA IMENIKAMATAA"
utanishukuru.
Huyu alijilengesha nikaona nikimchekea ataniona boya ingawa nilipanga nipige mara moja nimwache ila Sema ndio hvyo tena. Sema nae yuko poa sana ni single mother ana mtoto mmoja kila nikitaka kumwacha namuhurumia maana alishaniambia changamoto nyingi za maisha alizopitia, hivyo huwa namuonea hurumaKipi kilichopelekea umsaliti huyo mkeo
Keep itup !!! .Pamoja, mara nyingi nikiwa home huwa nashiriki na familia kwenye mambo mbalimbali Sema kusali huwa sijazingatia sana ingawa huwa ananisisitiza sana,nitaanza na hili maana nilikuwa sio mtu wa kushiriki nae pamoja ila hayo mengine huwa namfanyia maana napenda sana kumjali mke na mwanangu wakati wote sometimes huwa naingia jikoni nampikia chakula hasa wali Sato ya nazi anapenda sana
Ajiandae tu kisaikolojia.Shida moja, mwanamke akishajua unasaliti.
Nayeye ili arudi kua sawa ataliwa tu
LABDA AWE ANA HOFU NA MUNGU.
Tatizo letu wanawake tukishajua una saliti hata ufanye nini huwezi kurudisha ile thamani ya mapenzi kama awali, kuna dharau fulani na roho ya kisasi inakuwa ndani kwetu, kichwani kwetu kuna kuwa na why?? Nyingine, unakuwa huaminiki tena. Kuna zile wanaita butterflies zinaondoka unakuwa kama hisia kinamna fulani kama zimekata.
Yan usitegemee yale mapenzi haswa yatakuwepo kilichobakia ni ku fake upendo maisha yasonge. Msichojua wanaume ndio hicho yan tukishagundua kuna usaliti mapenzi yetu kwenu hayawezi kuwa kama awali never yan kama ni penzi linakuwa limeshakufa kinachobakia ni mazoea tu.
Kabla hujafanya usaliti fikiria hizi consequences maana Moyo wa mwanamke ukishaumia unaweza kuamua lolote lile na huwezi kamweeee kurudisha upendo kama awali. Mwisho wa siku unaharibu nyumba yako kwa mikono yako na tamaa za michepuko ambayo wala haina thamani nawe isipokuwa inatizama pochi yako, unakosa mapenzi ya dhati kwa mwanamke wako sababu anakuona mshenzi tu. Mwisho wa siku una kosa mapenzi kwa michepuko (Pochi) na kwa mkeo (Usaliti). Ndoa nyingi za kiafrika zimebakia katika hali ya mazoea tu.