Nilijua hajui ila nimefanikiwa kupindua meza

Siku ukikuta message ya njemba inasifia game halafu akuambie ni rafiki tu pia ulete uzi hapa ,na ujue tu wana siku hizi wanatifua tope tu k hawana habari nazo.
 
Reactions: BAK
Yuko humu pia kwa kuweka hizi details hapa kakusoma na anakuchora tu. 😃😃

 
Bro ulilomtendea mwenzio unalijua mwenyewe, fikiri ingekuwa yeye ndio amekutendea hivyo ungejisikiaje. Jaribu kutubu na kuacha hyo mambo kama unahakika kuwa una mke MWEMA.
 
Nakukumbusha tu ya kua.

MUNGU HADHIHAKIWI HATA KIDOGO KAMWE

Watch ur mouth bro ipo siku utakuja kukubali uwepo wake, upendo wake kwako, huruma yake na uwezo alionao.
Alishasema kakulia kwenye uchokoraa hayuko sawa huyo kisaikolojia
 
Kama mkeo ustadhati na mnakaa Maeneo ya kijichi na zone ya Huko ..bas pole..I smashed your woman..aliwahi kulalamika na nikatumia gia kumzabua
 
Jamaa wanakutisha tu apo kua ooh mke ukimcheat lazma na yeye akucheat UONGO MTUPU. Kati ya watu wanaosamehe kikwelikweli wanawake wanaongoza na ndio maana wanaishi mda mrefu yaani akikusamehe kasamehe kweli.

Ni ukweli usiopingika kua ni rahisi ndoa kuendelea mwaume akifumaniwa na mkewe, kuliko mwanamke akifumaniwa na mumewe. Hilo liko wazi hiyo inaonesha ni jinsi gani mwanamke anaweza kuvumilia maumivu na kuacha yapite.
Wanakupa moto tu hapa mkuu, mkeo keshakuamini na mipango mingine iendelee.
TUSIISHI KWA KUKALILI.
 
Kama mkeo ustadhati na mnakaa Maeneo ya kijichi na zone ya Huko ..bas pole..I smashed your woman..aliwahi kulalamika na nikatumia gia kumzabu

Kama mkeo ustadhati na mnakaa Maeneo ya kijichi na zone ya Huko ..bas pole..I smashed your woman..aliwahi kulalamika na nikatumia gia kumzabua
Sio muislam ni msabato na hatuishi kijichi
 
Ni lazima.
Sio wote wanafikiria visas na malipizi, kama ww ukikosewa na mtu wako basi unamcheat nampa pole sana huyo jamaa maana anaishi na mtu ambae yuko tayari kurisk kila kitu ili mradi tu alipize
 
Yaan ww umeongea sasa kiutuuzima bila mihemko na sijui hao wanawake wanao waoa ni wanamna gani ambao kwao kwenda nje kucheat ni kitu rahisi hivyo kama kununua mahitaji sokoni.
 
Yaan ww umeongea sasa kiutuuzima bila mihemko na sijui hao wanawake wanao waoa ni wanamna gani ambao kwao kwenda nje kucheat ni kitu rahisi hivyo kama kununua mahitaji sokoni.
Kabisa mkuu, baadhi ya members JF wanawadharau sana wanawake yani ni kama hawawezi simamia miili yao vile. Kwao kucheat ni kama kununua pipi tu daah.
Kutishana tu kusiko na sababu za msingi.
 
Yani hapo unajiona umeshinda!?? Pile sana hapo umeshinda physically lakin emotionally tambua you're loser. Tegemea kuona mabadiriko kwenye emotional responses
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…