Nilijua hajui ila nimefanikiwa kupindua meza

Sio wote wanafikiria visas na malipizi, kama ww ukikosewa na mtu wako basi unamcheat nampa pole sana huyo jamaa maana anaishi na mtu ambae yuko tayari kurisk kila kitu ili mradi tu alipize
Tiba ya usaliti ni kisasi, take care.
 
Hii mbinu tushaijuwa, Na tupo nayo makini vibaya sana
 
Hata kama ana hofu ya shetani analiwa tu.

Labda awe mvutoless.

Sent from my Infinix X5515 using JamiiForums mobile app
Anakuwaje mvutoless wakati wewe umevutuwa nae na kumuoa? Kile kile ulichokiona ndo wajuba watakiona au yeye mwenyewe atakionesha kwa lazima hata mradi lengo litimie[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kweli kabisa
 
Hakuna mwanamke asie Liwa zama hizi labda chonga mgomba uweke ndani,HAKUNA MWANAMKE WA PEKE YAKO WALA MWANAUME WA PEKE YAKO
Wapo mimi na miaka yangu ya ndoa sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu!! Speaking from experience aisee!!! Na sitarajii kunsaliti mwenza wangu kwa kutaman na kutoka nje ya ndoa yangu nina uhakika.
 
Wapo mimi na miaka yangu ya ndoa sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu!! Speaking from experience aisee!!! Na sitarajii kunsaliti mwenza wangu kwa kutaman na kutoka nje ya ndoa yangu nina uhakika.
Kazi yako haina changamoto za wanawake wazuri,pia huenda mazingira unayo ishi hayana pisi kali
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]endelea kumuinea huruma singoe mother usiionee huruma ndoa yako!!
 
Yaan ww umeongea sasa kiutuuzima bila mihemko na sijui hao wanawake wanao waoa ni wanamna gani ambao kwao kwenda nje kucheat ni kitu rahisi hivyo kama kununua mahitaji sokoni.
Tiba ya usaliti ni kisasi, take care.
Hii inaonyesha kwa kiasi
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]endelea kumuinea huruma singoe mother usiionee huruma ndoa yako!!
Nampenda sana mke wangu lakini pia Nina huruma sana
 
Wapo mimi na miaka yangu ya ndoa sijawahi kutoka nje ya ndoa yangu!! Speaking from experience aisee!!! Na sitarajii kunsaliti mwenza wangu kwa kutaman na kutoka nje ya ndoa yangu nina uhakika.
Dont be so sure! Wanasema, never say never, Ila mimi nazidi kukuombea usiliwe nje ya ndoa...si umejiwekea nadhiri bwana!!
 
Dont be so sure! Wanasema, never say never, Ila mimi nazidi kukuombea usiliwe nje ya ndoa...si umejiwekea nadhiri bwana!!
Endelea kunuombea kwakweli nachukia sana nam najiombea sana maana sipendi kabisa
 
Wenzako wanachapika kweli kweli, hasa huko maofisini. Ndoa ina mda gani?
Miaka michache tu lakin nina utaratibu wa kuwa na mwenza mmoja tu toka enzi na enzi kwahyo hata sahv sioni shaka kabisa najiamin na nadhiri nloweka!! Mimi mwenyrwe binafsi si intertain kuchepuka hvyo hakuna sababu itayokuja ya kunisababisha nifanye hvyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…