Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Hehehehe!! Ndio huwa naona tatizo na Watanzania wengi humu, huwa hamchukui muda kusoma na kuelewa masuala ya kimataifa, kwenu nyie kila kitu kinaanza na kuishia kwenye vitongoji vya Dar.
Kenya haijawahi kupigana na Somalia, tuna uhusiano mzuri sana na taifa la Somalia na Wasomali. Kuna kikundi cha ugaidi kinaitwa Alshabaab chenye wapiganaji kutokea mataifa tofauti, wakiwemo wapiganaji kutokea Tanzania. Nchi nyingi zilipeleka wanajeshi wake kujaribu kupunguza makali ya hicho kikundi maana kimewasumbua Wasomali sana. Nchi zote za EAC isipokua Tanzania ambayo ilikunja mkia, zimepeleka wanajeshi kule kuisaidia serikali ya Somalia.
Hicho kikundi kiliteka miji muhimu ya Somalia, kikateka meli nyingi sana zilizokua zinakuja EAC. Wakaendeleza wazimu wao kwa kuja hadi Kenya na kuwateka watalii wetu na kuua wengine. Hapo ndio waliguza masharubu ya simba maana walichezewa amphibious attack ya kwanza Afrika yote.
Sasa wameishia kuvaa buibui kitaa na kushambulia raia.
Mkuu!........Pata bonge la like!
Natumai kapata darsa!....ashike adabu na adabu imshike huyo!
😀😀😀!