Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Mimi sio Mjaluo ila napinga ukoloni unaofanywa na Wakikuyu dhidi ya makabila mengine. Leo hii unamuunga mkono Uhuru wakati aliwapeleka jandoni kwa lazima kupitia Mungiki. Wajaluo wa Tanzania wananawiri tu kulinganisha na nyie mnaonyanyaswa na Mungiki hao.
Acha kuukana asili yako...........nishakwambia"WANAJUANA KWA VILEMBA"...😀😀😀!
Hahahahhahahahha!😛😛😛