kilam
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 2,092
- 2,128
Mtu wa kutoka kabila lolote, kanda yoyote au dini yoyote anaweza kuwa Rais wa Tanzania tofauti na Kenya. Ndio maana watu kutoka makabila madogo kama Nyerere (Mzanaki), Mwinyi (Mndengereko),Mkapa (Mmakua) na Kikwete (Mkwere) waliongoza nchi bila shida. Hizo tofauti za kidini au kikanda hazina ushawishi wowote kwenye kuongoza nchi yetu.Na mbona huwa nyiyi pia hamchachafyani KIDINI ama KIKANDA ,humo humo kama ilivyo desturi yenu.
Ni kwa sababu hamna ujasiri au tatizo ni lugha?