Tim Choice
JF-Expert Member
- Sep 28, 2013
- 2,088
- 1,261
Mimi sio Mjaluo ila napinga ukoloni unaofanywa na Wakikuyu dhidi ya makabila mengine. Leo hii unamuunga mkono Uhuru wakati aliwapeleka jandoni kwa lazima kupitia Mungiki. Wajaluo wa Tanzania wananawiri tu kulinganisha na nyie mnaonyanyaswa na Mungiki hao.
Omba omba na visa wapi na wapi.
Hahaha, sasa nini kuniandama na lugha ya mkoloni iliyokuja na meli, ?"COSTFUL" ndiyo mnyama yupi?...hakuna kitu kama hicho weye kanyaboya!...😛😛😀!.....yapaswa iwe "costly"
Koma kuiharibu lugha ya Malkia .
Kiswahili hukijui ,Kiingereza ndicho utakiweza?.
Nalijua hilo,20 f**ng 15....hauna macho/............TUPO 2016 in case you didnt know!.........nimekupa data za 2016...kumbuka mwaka umeisha.....wadanganyika mnachosha!
Mk254, utafiti unaonyesha ~43% Kenyans live below poverty line, umaskini wa kutupwa,Omba omba na visa wapi na wapi.
Eldoret pia wameanza kujaa......na wale wamaasai wa kuuza viatu...Tanzanian beggars are all over from Nyeri,to Kisii and Mombasa....Hebu tuwasaidie hawa Wabongo wenzetu..tuwaonee hurumu tafadhali
Mk254, utafiti unainyesha ~43% Kenyans live below poverty line, umaskini wa kutupwa,
What do u say?
Mk254, utafiti unainyesha ~43% Kenyans live below poverty line, umaskini wa kutupwa,
What do u say?
Danganyika ni 51.2% mpaka wengine wanakula nyama ya Mtu(Albino)....How do you explain it,???
Ni 50% (2000) kumbe nilikosea kunukuu,Ni 38 acha uvumi!
Tuambie umasikini wa Tanganyika ni asilimia ngapi?
Ni 50% (2000) kumbe nilikosea kunukuu,
Pita hapa, halafu leta link ya hiyo yako
www.nationmaster.com/country-info/stats/Economy/Population-below-poverty-line
Nakushangaa Mjaluo wewe umejiingiza kwenye propaganda za Wakikuyu.
Unadhani hatuwaoni kwenye kurasa za BBC Africa, CCTV Africa na kwingineko mnavyochachafyana kikabila.Ndio tofauti ya Wakenya na Watanzania, hapa Kenya inawezekana ukawa mzalendo hata kama haupendi serikali iliyo kwenye madaraka. Mkenya hata kama mfuasi wa upinzani, lakini ukiigusa Kenya yake tegemea kichapo.
Ndio tofauti ya Wakenya na Watanzania, hapa Kenya inawezekana ukawa mzalendo hata kama haupendi serikali iliyo kwenye madaraka. Mkenya hata kama mfuasi wa upinzani, lakini ukiigusa Kenya yake tegemea kichapo.
Unadhani hatuwaoni kwenye kurasa za BBC Africa, CCTV Africa na kwingineko mnavyochachafyana kikabila.