Nilijua tu Mwabukusi lazima amtoe Feleshi

Nilijua tu Mwabukusi lazima amtoe Feleshi

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Pamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi.
Sio mbaya lakini! hebu tumwone Hamza kama atafaa pale!
 
Pamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi.
Sio mbaya lakini! hebu tumwone Jasusi Hamza kama atafaa pale!
Huyo Hamza ameteuliwa kuwa AG kama zawadi baada ya kuwa kinara wa watetezi wa mikataba ya DP world!!
 
Pamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi.
Sio mbaya lakini! hebu tumwone Jasusi Hamza kama atafaa pale!
Kawekewa Kabudi wapambane.
 
Pamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi.
Sio mbaya lakini! hebu tumwone Jasusi Hamza kama atafaa pale!
Je kama anaandaliwa kuwa CJ?
 
Sina tatizo na majasusi wowote popote, kitu muhimu ni huyo jasusi awe competent kwenye fani husika!. Huyu ndie aliye draft ile IGA ya DPW na Bandari zetu!, niliandika humu "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?
Sasa kama huyu architect wa ile IGA ya ajabu ajabu sasa ndie AG?!, unategemea nini?.
P
Very correct 💯, huyu Mama awamu ya pili anataka afanye madudu makubwa kwa kutumia huyo architect wa DP World, huyu jamaa ni kilaza sana, basi kwa vile ni swala tano ndo hivo tena. Pia anatokea kule Zanzibar japo kakulia bara, na watu wengi wa kule akili ndogo sana angalia viongozi wanaotoka kule Zanzibar au kama mulisoma nao uko school, uelewa wao huwa ni mdogo na ndo maana JPM alifukuza yule Prof toka Zanzibar Mama kamurudisha hapo uchukuzi unaona mikataba ya ajabu mtu kama Prof anashindwa kubaini huo mkataba ambao hata darasa la kwanza angeweza kugundua huo uozo.

Madudu mengine hayo
 
Attachments

  • IMG-20240815-WA0063.jpg
    IMG-20240815-WA0063.jpg
    202.9 KB · Views: 3
  • IMG-20240815-WA0062.jpg
    IMG-20240815-WA0062.jpg
    126.9 KB · Views: 4
Back
Top Bottom