Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Ha DPW wamekuta madudu mengi hapo bandarini inabidi wayasafishe kwanza ndio faida kubwa ianze kupatikana. Sawasawa na ATCL ilivyoanza na hasara za miaka mitano kisha faida halisi itaanza kupatikana haya ni masuala ya kiuchumi ukiyachukulia kishabiki utajikuta unakuwa sehemu ya wapiga tarumbeta wasioelewa wameandika kitu gani.Very correct 💯, huyu Mama awamu ya pili anataka afanye madudu makubwa kwa kutumia huyo architect wa DP World, huyu jamaa ni kilaza sana, basi kwa vile ni swala tano ndo hivo tena. Pia anatokea kule Zanzibar japo kakulia bara, na watu wengi wa kule akili ndogo sana angalia viongozi wanaotoka kule Zanzibar au kama mulisoma nao uko school, uelewa wao huwa ni mdogo na ndo maana JPM alifukuza yule Prof toka Zanzibar Mama kamurudisha hapo uchukuzi unaona mikataba ya ajabu mtu kama Prof anashindwa kubaini huo mkataba ambao hata darasa la kwanza angeweza kugundua huo uozo.
Madudu mengine hayo
Hamza hajafanya DPW pekee, alipambana kuhusu mkataba wa Ziwa Nyasa mpaka Tanzania tumerudisha mpaka jinsi ulivyotakiwa uwe, wakati Hamza anapambana Fatuma Karume na wanasheria wengine walishasema Malawi wana haki ya kumiliki ziwa lote!, hao ni wanasheria wetu wengi namna walivyo.
Hamza kasimamia mikataba mingi yenye kuipatia faida Tanzania kiuchumi, haiwezi kuwekwa humu jukwaani ni siri za kimfumo.