John Wickzer Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 6,656
- 14,403
Jaji Feleshi ni Miongoni mwa majaji mizigo katikà nchi hii ya Tanzania. Daima amekuwa akisababisha Migogoro na mivutano isiyokuwa ya lazima.Pamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi.
Sio mbaya lakini! hebu tumwone Jasusi Hamza kama atafaa pale!
Kawekewa Kabudi wapambane.
Inawezekana. Nakumbuka wakati wa Nyerere, nchi kama USA, UK, Sweden nk walikuwa wakiteua mabalozi wa kuja Tanzania ambao ni makini sana, kwa sababu wakiwa yeboyebo Nyerere alikuwa anawaaibisha mno wanapokuwa na mazungumzo nae na hawaelewi mambo. Mwinyi alipoingia madarakani ndio tulianza kuletewa mabalozi ambao walikuwa wapowapo tu, kwa sababu hizo nchi ziliona ku-deal na president kama Mwinyi was a walk in the park.Tuna very narrow mindset
Uchaguzi TLS ndio ulete all those changes?
Inawezekana. Nakumbuka wakati wa Nyerere, nchi kama USA, UK, Sweden nk walikuwa wakiteua mabalozi wa kuja Tanzania ambao ni makini sana, kwa sababu wakiwa yeboyebo Nyerere alikuwa anawaaibisha mno wanapokuwa na mazungumzo nae na hawaelewi mambo. Mwinyi alipoingia madarakani ndio tulianza kuletewa mabalozi ambao walikuwa wapowapo tu, kwa sababu hizo nchi ziliona ku-deal na president kama Mwinyi was a walk in the park.
Kwa hiyo Samia akijua mtu kama Mwabukusi ndio raisi wa TLS, atataka awe na mtu makini sana kama AG, la sivyo serikali itaaibika kila siku.
Kwa hiyo mtoa mada ana point, sio kwamba ewepo wa Mwabukusi TLS umemfanya Samia afanye haya mabadiliko, akijua Feleshi sio size ya Mwabukusi atafanya serikali iumbuke
Feleshi amepanda Cheo ila amepunguza marupurupuPamoja na kuwa ni promotion, Jaji Feleshi alikuwa anatumia nguvu kubwa sana kuhakikisha Mwambukusi hashindi TLS - Wapi sasa? Nilijua mama hatamwacha hivi hivi.
Sio mbaya lakini! hebu tumwone Jasusi Hamza kama atafaa pale!
Wala kwa kamba popote mulipoMuda wa anguko ukifika hata cheo chako kinakusaliti!
If Feleshi becomes the next CJ, it will be a disaster as the country will go to the dogs!Kuna uwezekano mkubwa ndo akawa next CJ
Tumekwisha.Sina tatizo na majasusi wowote popote, kitu muhimu ni huyo jasusi awe competent kwenye fani husika!. Huyu ndie aliye draft ile IGA ya DPW na Bandari zetu!, niliandika humu "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?
Sasa kama huyu architect wa ile IGA ya ajabu ajabu sasa ndie AG?!, unategemea nini?.
P
Kama ilivyo kwa bibi anavyotapatapa hivi sasaMuda wa anguko ukifika hata cheo chako kinakusaliti!
Feleshi hayuko msafi kuwa CJJe kama anaandaliwa kuwa CJ?
YesTuna very narrow mindset
Uchaguzi TLS ndio ulete all those changes?
Kwani ngumi? au Sheria!. Au nguvu ya dola! Kama Sheria ziko wazi hata wewe unazisoma ishu kutafsiri Kwa matakwa ya mtu.Kawekewa Kabudi wapambane.
Humjui vizuri Hamza.Huyo Hamza ameteuliwa kuwa AG kama zawadi baada ya kuwa kinara wa watetezi wa mikataba ya DP world!!
Hamza aliitetea Tanzania ikaweza kurudishiwa sehemu ya Ziwa Nyasa wakati kina Fatuma Karume wakisema ni mali halali ya Malawi.Watetezi wa dp world wamekula teuzi. Na wale wa ngorongoro nadhani watakuwa wamekula shavu pia.
Kuuza nchi imekuwa uzalendo.
Mpaka museveni na ufisadi wake
anatusikitikia.
DP World ni mwekezaji sawa na swissport pale Uwanja wa Ndege ina maana swissport kauziwa uwanja wetu wa ndege?.Watetezi wa dp world wamekula teuzi. Na wale wa ngorongoro nadhani watakuwa wamekula shavu pia.
Kuuza nchi imekuwa uzalendo.
Mpaka museveni na ufisadi wake
anatusikitikia.
Mission accomplished.Sina tatizo na majasusi wowote popote, kitu muhimu ni huyo jasusi awe competent kwenye fani husika!. Huyu ndie aliye draft ile IGA ya DPW na Bandari zetu!, niliandika humu "IGA ya DPW imetusaidia sana kujitambua. Tuna wanasheria wa Aina Gani!, Bunge na Serikali yetu, Ilipitishaje IGA Hii?
Sasa kama huyu architect wa ile IGA ya ajabu ajabu sasa ndie AG?!, unategemea nini?.
P
Hamza ni kipaji sana.Huyo Hamza ameteuliwa kuwa AG kama zawadi baada ya kuwa kinara wa watetezi wa mikataba ya DP world!!
Mkuu wanasheria wengi tulionao sio competent. Ni aibu kwa Mwabukusi kuiongoza taasisi ya TLS.Tuna very narrow mindset
Uchaguzi TLS ndio ulete all those changes?