Unapotumia neno mikia basi hapo kwenye jina la timu yako weka utopolo isomeke hivi "Utopolo wanafnya kama wanaiogopa mikia"Mind game ndio kama hizi sio kuwanga katikati ya uwanja tena ugenini,hii game Yanga wanafanya kama wanaiogopa mikia ili wajae kwenye reli mapema tu tuwapasue
Wajinga ni wale wanaowanga mchana kweupeAfu wote wajinga
Vigagula fcUnapotumia neno mikia basi hapo kwenye jina la timu yako weka utopolo isomeke hivi "Utopolo wanafnya kama wanaiogopa mikia"
Dada wa jiesiem wewe
Tuoneeni huruma basi mbona hivyo? Ila mtuachie FA maana tutakosa kila kitu..Sasa Mtu katoka msibani atakuwa na kelele za nini hata matanga hawajaanua?
Mwenyeji ndio anaetakiwa kufanya promo ya mechi kwakuwa mgeni atoambulia ata shilingi kwenye mapato kwaiyo kunyamaza kwa simba ni sawa kwao isiwe ajenda ya kupigia kelele apaView attachment 2204818
Siku zote kwenye harusi bwana harusi makini huwa hana mbwembwe. Mbwembwe anawaachia upande wa kikeni
Nani anapiga keleleMwenyeji ndio anaetakiwa kufanya promo ya mechi kwakuwa mgeni atoambulia ata shilingi kwenye mapato kwaiyo kunyamaza kwa simba ni sawa kwao isiwe ajenda ya kupigia kelele apa
Wewe stress zinakusumbua,yako wapi matusi hapoHuwa nakereka sana,kutoa lugha ya kejeli na matusi
Ina maana hatujui maana ya utani,tutaniane kistaha hakuna bwana Wala Bibi kwenye hizi timu
Kwa utopolo hii ni big mechi ila kwa Club kubwa kama Simba hii ni mechi ya ligi kuu kama kucheza na Namungo tu, imeisha hiyoTatizo Mkolo washajua hyo mechi hawawezi kuchomoka sembuse na Ile ahadi ya Mayele.
Sasa hawawezi kuleta mbwembwe lazima waende kinyonge dadeq.. kesho kumenywa kupo palepale
Ngao ya hisani Yanga walicheza na GeitaAhadi ya mayele ni mjinga pekee anaweza kumchukulia serious mtu ambaye Geita Gold alilendemka kama uji wa magadi afu ndio aje kuwa tishio ina hitaji ubongo wa nzi kuwa na fikra hizo
Halafu tumekaa kimya tukijua mmejifunza, mwaka jana mlikuwa mnasema tarehe 11 lazima awafunge, lakini matokeo yake hata dakika 90 hakuzimaliza zote na aliye mbadili hata mpira hakugusa.
Mbona hata wewe una mipasuko ndugu na watu hatushangai.SIMBA MNAPASUKA MAPEMA SANA
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Afu wote wajinga
Upumbavu unasumbuaga sana akili yako, Geita Gold hawakubamizwa 1 - 0 na Yanga NBC PL mzunguko wa kwanza 2021/2022, tena aliwadungua huyo huyo usiyempenda "Mayele"?Ahadi ya mayele ni mjinga pekee anaweza kumchukulia serious mtu ambaye Geita Gold alilendemka kama uji wa magadi afu ndio aje kuwa tishio ina hitaji ubongo wa nzi kuwa na fikra hizo
Halafu tumekaa kimya tukijua mmejifunza, mwaka jana mlikuwa mnasema tarehe 11 lazima awafunge, lakini matokeo yake hata dakika 90 hakuzimaliza zote na aliye mbadili hata mpira hakugusa.
Ongeza;Vigagula fc
Matambiko fc
mbumbumbu fc
Jichagulieni jina jipya litakalotumika msimu ujao
Mbona unaenda mbali kutafuta mifano wakati juzi hapo tulicheza?Ngao ya hisani Yanga walicheza na Geita
Mi nimezungumzia mechi yenu ya mwisho mliyocheza FAUpumbavu unasumbuaga sana akili yako, Geita Gold hawakubamizwa 1 - 0 na Yanga NBC PL mzunguko wa kwanza 2021/2022, tena aliwadungua huyo huyo usiyempenda "Mayele"?
Ni heri ungekaa tu kimya ungeonekana una hekima kuliko kuropoka usichokijua [emoji19]
Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
Sawa, shushia maji ya kunywa ya bariiidi usije kufa kwa uchungu toka kwa kichapo cha mmbwa mwitu kule South Africa kwa akina O'pirates [emoji16]Mi nimezungumzia mechi yenu ya mwisho mliyocheza FA
Hiyo mechi unayoisema wewe ambayo huyo mayele alifunga hakuna mtu wa sports anaweza kuelezea kwa angle yeyote bila kuhusianisha na rushwa
Unajifariji eeWashapagawa, kesho lazima tuwangukie hawa utopolo.