Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 15,954
- 35,415
Ndio maana namwambia Scars kua wameifurahia sare.Yaani hawakai kufikiria kwanini tumeshindwa ku score kwa beki zile za Yanga ambazo wanazinanga kuwa ni mbovu badala yake wana msifia mtu aliyewafanya wasifungwe. Walikuja kuzuia kutofungwa tu hao
Makolo wana roho korosho na wivu ya kubana mapatoView attachment 2204818
Siku zote kwenye harusi bwana harusi makini huwa hana mbwembwe. Mbwembwe anawaachia upande wa kikeni
Waulize ndgu zako makolo kwanini wanashangilia sasa.ball position ngapi kwa ngapi mpaka tushangilie sare wewe uto
Waulize ndgu zako makolo kwanini wanashangilia sasa.ball position ngapi kwa ngapi mpaka tushangilie sare wewe uto
Ball position[emoji86][emoji86][emoji86]ball position ngapi kwa ngapi mpaka tushangilie sare wewe uto
tunashangilia maan shot on target kwa uto ni 0Waulize ndgu zako makolo kwanini wanashangilia sasa.
Waulize kwanini wanawasifia sana mabeki wao kwa kumkaba mayele na sio kutoa kasoro za wafungaji wao kwanini hawajafunga.
Labda tuwakumbushe tu mchezo ulikua kati ya yanga na simba na sio mayele na simbaππ
ππππ Kwahiyo unashangilia kile kichwa cha mchongo hata mtoto wa daras la pili anadaka.tunashangilia maan shot on target kwa uto ni 0
hatuna shida na ubingwa tumechukua mara 4 mfululizoππππ Kwahiyo unashangilia kile kichwa cha mchongo hata mtoto wa daras la pili anadaka.
Ubingwa mmekosa, kimataifa mmechabangwa mmebaki kushangilia sare.
Baada ya huu upupu ukashangilia droo na mayele kutofunga goli dhidi ya makoloKwanini isikupotezee?
Evolution inasema twiga asili yake hakuwa na shingo ndefu, uhaba wa majani ardhini ulimfamya anyanyue shingo kuyafata kwenye matawi ya juu na mpaka saizi ana shingo ndefu
Na ndio asili yake mpaka leo
Simba tushatengeneza asili yetu kwa kumpata mpinzani wetu (Al Ahly) ambaye hata kocha wake ana admit hilo kuwa hakuna sehemu ngumu kupata matokeo kama kwa mkapa akicheza na simba.
Ni muda sasa mkaendelea ku focus na mtani wenu Azam (hiyo ndio level yenu) kama ambavyo hata manara anasema.
Sisi tutaendelea kuangazia extra mile huko za kimataifa
Nishangilie droo wakati nimecheza na kindergaten?Baada ya huu upupu ukashangilia droo na mayele kutofunga goli dhidi ya makolo
Mayele alicheza vipi mugalu akucheza?mikia mnajitoa ufahamu sana πNishangilie droo wakati nimecheza na kindergaten?
Huyo mayele mnayempa ujiko kwani jana alicheza?
Mechi ya jana ilipooza sana kwasababu Mayele hakuwepo upande wa Yanga huku Simba hikiwakosa zaidi ya wanne. Chama mwamba wa Lusaka kilio cha wanasimba hakupangwa, Morrison, Mugalu, Kibu Denis, Bwalya mzee wa soft touch hakuwepo pia. Mbaya zaidi mchezaji ambaye level zake ni za kimataifa huko ambaye mpaka kanzishiwa special thread yake kuwa hafanii na mchezaji yeyote bongo kwa uwezo wake naye hakuwepo wakuitwa Sakho.Nishangilie droo wakati nimecheza na kindergaten?
Huyo mayele mnayempa ujiko kwani jana alicheza?
Lini uliona shabiki wa simba akim praise Mugalu humu kuwa lazima siku ya derby awafunge?Mayele alicheza vipi mugalu akucheza?mikia mnajitoa ufahamu sana π
Chukueni on target + off target+ offside zenu muweke kwenye points bado mnabaki nafasi ya pilitunashangilia maan shot on target kwa uto ni 0
Nishangilie droo wakati nimecheza na kindergaten?
Huyo mayele mnayempa ujiko kwani jana alicheza?
πππ Aisee msimu huu mmetepeta vibaya mno.hatuna shida na ubingwa tumechukua mara 4 mfululizo
Ukila mlo moja kila siku lazima ukinai siku moja moja lazima ubadili mlo so tumewaachia nyie ubingwa wazee wa 0.5 ili ligi ichangamke