3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 May 2, 2022 #121 Vishu Mtata said: πππ Aisee msimu huu mmetepeta vibaya mno. Yaani ziiiiiii Click to expand... Pole hangaika na hako kamilioni 500 Mnyama kakomba pesa ya maana shirikisho na ligi kuu
Vishu Mtata said: πππ Aisee msimu huu mmetepeta vibaya mno. Yaani ziiiiiii Click to expand... Pole hangaika na hako kamilioni 500 Mnyama kakomba pesa ya maana shirikisho na ligi kuu
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 May 2, 2022 #122 ukikaidi utapigwa2 said: Chukueni on target + off target+ offside zenu muweke kwenye points bado mnabaki nafasi ya pili Click to expand... Yamekuwa hayo? Uto shida sana π
ukikaidi utapigwa2 said: Chukueni on target + off target+ offside zenu muweke kwenye points bado mnabaki nafasi ya pili Click to expand... Yamekuwa hayo? Uto shida sana π
Vishu Mtata JF-Expert Member Joined Dec 15, 2019 Posts 15,954 Reaction score 35,415 May 3, 2022 #123 CHAMASON-MORISON-SAKHOSON said: Pole hangaika na hako kamilioni 500 Mnyama kakomba pesa ya maana shirikisho na ligi kuu Click to expand... ππππ Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa. "Sizitaki mbichi hizi"πππ
CHAMASON-MORISON-SAKHOSON said: Pole hangaika na hako kamilioni 500 Mnyama kakomba pesa ya maana shirikisho na ligi kuu Click to expand... ππππ Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa. "Sizitaki mbichi hizi"πππ
changaule JF-Expert Member Joined Jan 10, 2020 Posts 6,039 Reaction score 10,151 May 3, 2022 #124 Vishu Mtata said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa. "Sizitaki mbichi hizi"[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Halafu ela yenyewe shirikisho ni dola 350,000 tu wakati Galaxy pamoja na kuburuza mkia kwenye kundi lake lakini wanazoa dola 550,000
Vishu Mtata said: [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa. "Sizitaki mbichi hizi"[emoji23][emoji23][emoji23] Click to expand... Halafu ela yenyewe shirikisho ni dola 350,000 tu wakati Galaxy pamoja na kuburuza mkia kwenye kundi lake lakini wanazoa dola 550,000
3ZOV JF-Expert Member Joined Dec 28, 2020 Posts 6,259 Reaction score 7,015 May 3, 2022 #125 Vishu Mtata said: ππππ Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa. "Sizitaki mbichi hizi"πππ Click to expand... bado kombe la azam bwana uto
Vishu Mtata said: ππππ Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa. "Sizitaki mbichi hizi"πππ Click to expand... bado kombe la azam bwana uto