3ZOV
JF-Expert Member
- Dec 28, 2020
- 6,259
- 7,015
Pole hangaika na hako kamilioni 500πππ Aisee msimu huu mmetepeta vibaya mno.
Yaani ziiiiiii
Mnyama kakomba pesa ya maana shirikisho na ligi kuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole hangaika na hako kamilioni 500πππ Aisee msimu huu mmetepeta vibaya mno.
Yaani ziiiiiii
Yamekuwa hayo? Uto shida sana πChukueni on target + off target+ offside zenu muweke kwenye points bado mnabaki nafasi ya pili
ππππ Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa.Pole hangaika na hako kamilioni 500
Mnyama kakomba pesa ya maana shirikisho na ligi kuu
Halafu ela yenyewe shirikisho ni dola 350,000 tu wakati Galaxy pamoja na kuburuza mkia kwenye kundi lake lakini wanazoa dola 550,000[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa.
"Sizitaki mbichi hizi"[emoji23][emoji23][emoji23]
bado kombe la azam bwana utoππππ Mmekosa makombe mnaanza kuringia pesa.
"Sizitaki mbichi hizi"πππ