Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Eti nusu ubakwe, mwanaume unakubali kweli kwamba ilikua kidogo ubakwe😂😂.

Mwanaume kitu ulichonacho cha thamani kuliko vyote na ambacho unatakiwa kukilinda hata kwa maisha yako ni marinda, huwezi kukubali mtu akutishie kwamba atayafumua na wewe umchekee tu haijalishi uko mazingira gani.

Mwanaume hupaswi ku negotiate kuhusu marinda yako, hapo hakuna negotiations.

Anyway, Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta.

Sijui hata umeandika upumbavu gani! Hupaswi ku negotiate? Inategemea upo Wapi na Nani Ana nguvu! Akili nyingine Ni Za kutembelea tu!
 
Eti nusu ubakwe, mwanaume unakubali kweli kwamba ilikua kidogo ubakwe😂😂.

Mwanaume kitu ulichonacho cha thamani kuliko vyote na ambacho unatakiwa kukilinda hata kwa maisha yako ni marinda, huwezi kukubali mtu akutishie kwamba atayafumua na wewe umchekee tu haijalishi uko mazingira gani.

Mwanaume hupaswi ku negotiate kuhusu marinda yako, hapo hakuna negotiations.

Anyway, Pole sana mkuu kwa yaliyokukuta.
😂😂
 
Ila hicho kisa alicho andika jamaa kama ni kweli halafu initokee mimi, hao polisi na huyo mtu waniue. Nikitoka mzima watajua WW1 na hata WW2 ilikuwa vita ya kitoto.

Nasema labda waniue, wakiniacha salama hakuna cha nani wala nani ilimradi wote ni binadamu na tunakanyaga ardhi.

Kama ni kweli polisi waache hiyo mambo mara moja.
 
Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza wa Tanzania.
Sitosahau mwaka 2021 mwezi March nilipokea simu ya mtu aliyejitambulisha kuwa ni mpemba ana kazi ya Ujenzi wa ghorofa nane anahitaji kuonana na
Sory mkuu hivi ungekubali kubakwa si ungeachiliwa huru??
Pole sana lakini
 
Back
Top Bottom