Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho


Sijui hata umeandika upumbavu gani! Hupaswi ku negotiate? Inategemea upo Wapi na Nani Ana nguvu! Akili nyingine Ni Za kutembelea tu!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ila hicho kisa alicho andika jamaa kama ni kweli halafu initokee mimi, hao polisi na huyo mtu waniue. Nikitoka mzima watajua WW1 na hata WW2 ilikuwa vita ya kitoto.

Nasema labda waniue, wakiniacha salama hakuna cha nani wala nani ilimradi wote ni binadamu na tunakanyaga ardhi.

Kama ni kweli polisi waache hiyo mambo mara moja.
 
Sory mkuu hivi ungekubali kubakwa si ungeachiliwa huru??
Pole sana lakini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…