Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kwa bahati mbaya sana Uvccm nao ujifanya ni Usalama wa Taifa.Wewe acha hizo hii nchi haifuati sheria hata kidogo..kwani ni mara ngapi watu wamekamatwa na usalama wa taifa na kuteswa vibaya?
Mjinga mkubwa ww tana taira kabisa inawezekana ww ni polisi Ila ni pumbavu kabisa hii umeona viroba vingapi vya watu kwenye baharii au uanjitoa ufahamu watu wangapi wamepelekwa vituo vya polisi na kufia ukouko na wakasema amajiuwa wangapi wanachukuliwa vituo vya polisi na polisi wenyewe na kwenda kuwauwa kwenye mapori na kusema walikuwa wanatupiana risasi kama majambazi mbwa kabisa ww polisi wengi ni washenzi tamaa nyingi mbele hamna utu kabisa laana nyingi ziko mikononi mwenu ndyoo maana ata Yule mwenzenu kajijengea kaburi sababu anajua yapi mengi waliyoyafanya mnatumika alafu mnaachwa kama mbwa Koko maishani mwenu koteKiongozi pamoja na kuwa tuna mapolisi wasiokuwa na maadili lakini hakuna vitendo hivyo kwenye vituo vya Polisi.
Hata magerezani wanaolawitiwa ni kwa hiyari yao wala si kwa kulazimishwa au kuwekwa mtu kati na kufanyiwa kinguvu, si kweli na hakuna kitu kama hicho.
Lugumi ndio alipewa tenda ya kufunga hivyo vifaa vya finger print na camera matokeo yake pesa yote amegawana na hao Polisi na yeye kujenga maghorofa yake.Jamani ni 2022 funguka kila kitu weka majina na vituo vyao vya kazi unadhan ukificha ficha ndio inasaidia
Naomba kuuliza hivi vituo vya police hawawezi kuviweka kwa hali ya usafi na kutengeneza mazingira mazuri kiafya juzi kuna rafki aliwekwa aliniambia pachafu sana ,miaka kwenda uchafu ushapitwa na wakati kwanin pasiwe pasafi tu
Halaf police wanapenda rushwa mdhamana mpaka pesa ndio anatoa waweke camera
Siwapendi police
Nikikujibu sawasawa na upumbavu wako Mods wataniona mimi,Mjinga mkubwa ww tana taira kabisa inawezekana ww ni polisi Ila ni pumbavu kabisa hii umeona viroba vingapi vya watu kwenye baharii au uanjitoa ufahamu watu wangapi wamepelekwa vituo vya polisi na kufia ukouko na wakasema amajiuwa wangapi wanachukuliwa vituo vya polisi na polisi wenyewe na kwenda kuwauwa kwenye mapori na kusema walikuwa wanatupiana risasi kama majambazi mbwa kabisa ww polisi wengi ni washenzi tamaa nyingi mbele hamna utu kabisa laana nyingi ziko mikononi mwenu ndyoo maana ata Yule mwenzenu kajijengea kaburi sababu anajua yapi mengi waliyoyafanya mnatumika alafu mnaachwa kama mbwa Koko maishani mwenu kote
Taira ww utajifunza adabu mwenyewe kenge wwNikikujibu sawasawa na upumbavu wako Mods wataniona mimi,
Sasa ngoja nikupe muda kwanza kisha nitakufunza adabu.
Hivi kesi yake iliishaje?Lugumi ndio alipewa tenda ya kufunga hivyo vifaa vya finger print na camera matokeo yake pesa yote amegawana na hao Polisi na yeye kujenga maghorofa yake.
Watu hawakumwelewa hamzaIla hicho kisa alicho andika jamaa kama ni kweli halafu initokee mimi, hao polisi na huyo mtu waniue. Nikitoka mzima watajua WW1 na hata WW2 ilikuwa vita ya kitoto.
Nasema labda waniue, wakiniacha salama hakuna cha nani wala nani ilimradi wote ni binadamu na tunakanyaga ardhi.
Kama ni kweli polisi waache hiyo mambo mara moja.
Wacha wee, endelea kudemka shosti.Taira ww utajifunza adabu mwenyewe kenge ww
Wamekula wote na Polisi unaanzaje kumshtaki?Hivi kesi yake iliishaje?
Kila ubaya utalipwaNilimuuliza wewe ni Nani mpaka unitishe hivi?
Alijibu: hapo upo wapi? Mimi Nina hela Sina Sheria.[emoji848][emoji15][emoji848][emoji15][emoji31]
mkuu kwani si umesoma maelezo yake vizuriiii? yan mtu anaemfahamu ndo kaanza kumuundia zengweIla jeshi la police jamani! Lijitafakari upya
anataka kuonesha ye ndo ametesekaaaa ili aonewe huruahuu ni uongo kama uongo mwingine...!
Nimeshangaa sana mkuu, mtu ana bargain asiliwe, imagine.Kitendo cha kubagen asininiliwe ni bonge la udhaif akikutana na wasiotaka pesa inamaana jamaa ingekua fresh tu
Au labda jamaa handsome mno ndio maana wamemtamanNimeshangaa sana mkuu, mtu ana bargain asiliwe, imagine.
Yaani mwanaume unabembeleza watu wasikufire kweli? Si bora wakuua.
Yaani kitendo cha mwanaume mwenzako kuomba ama kutaka akufire hapo wmetangaza vita.
Mimi niko tayari kufungwa maisha ama hata kunyongwa kwa kuua mtu yoyote akikaribu tu kuzungumzia mk.undu wangu, kwanza anaanzia wapi kutaka anifire?