Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Iv huu upumbavu wa kuandika simulizi zilizowakuta watu humaliizi unataka wanaume wenzio wakubembeleze ndo umalizie utaisha lini? Mods pls mtu akiandika then aseme ataendelea mfungien maisha ni ujinga
Kama story ni ya kweli why usiendeike mara moja umalize ndo upost
 
Alitekwa na polisi sababu alikamatwa bila utaratibu, akapelekwa kituoni, akawekwa ndani kituoni na mfumo wa mashtaka haukuwa wa kufuata sheria zetu. Kama ni kweli yupo sahihi kusema alitekwa na polisi.
 
Ili wewe ufurahie hadithi halafu yeye waliotaka kumnanii wamrudie.😄
 
Pole kwa kubakwa mkuu uwenda walikwambia siri ikivuja video zitasambaa
 
Pole sana mkuu.

Kanuni za Kiintelijensia zinatutaka tuwe waangalifu sana tunapotaka kukutana na watu physically baada ya kufanya nao mawasiliano kwa njia ya simu bila kujali umeitiwa nini. Mara nyingi hii mbinu inatumika kama trap. Ule msemo wenu sijui kubali wito kataa neno umeshapitwa na wakati. Zama hizi tunaishi kwenye dunia iliyojaa ushetani mwingi sana. Hakuna wa kumuamini.

Kwa kazi ninayoifanya ambayo inani-expose kwenye hatari nyingi; mimi ukinipigia simu nikawa sikuelewielewi lazima nije na timu yangu halafu ina-chill kwa pembeni, wao wanakuwa observers, na wote tuna smart watches zinazorekodi sauti na video. Au ili kukutingisha kidogo nakuambia tukutane kwenye mgahawa wa polisi (police mess).

Wengi wetu machoni kama watu lakini mioyoni hatuna utu.

All in all, pole sana mkuu.
 
Hiyo ni hadithi ya Juma na uledi hayo matendo kwa nchi hii labda enzi za ukoloni lakini ndani ya miaka 60 ya uhuru haijawahi kutokea.
Sema haijawahi kukutokea wewe lakini usijiaminishe kuwa haijawahi kutokea. Mbona hao majamaa wanaua wafanyabiashara na kuwapora fedha zao (kama wale wa madini wa Kilombero). Mfano labda mmoja angebaki hai na kuja kutoa maelezo humu ungeamini?
 
Shirikisha akili yako mkuu , hao askari kiufupi wameongea hivyo kww kuficha ID zao sababu wanajua huyo mtu atarudi mtaani so kuonesha vitambulisho vyao au kusema ukweli wao ni askari wa kituo gan ! Ingewakamatisha baadae kama jamaa angeomba msaada wa kisheria
 
Mkuu usitetee kitu usichokujua , yupo dogo walimbinua kbs uzuri waliwekwa selo watatu so wenzie walistuka wakamsaidia , hayo mambo yapo na sio kila mtu anafanyiwa ila huangalia na mtu mwenyew alivyo kama wanammudu
 
Ivi ulichoandika apoo umekisoma kweli au akili yako imejaa matope unajua wajibu wa polisi Kwa mtuumiwa ivi Sisi vijana tunakuwaje alafu ukute nawe ni muajiriwa sehemu unatoa haki Kwa watu aisee Mungu akusimamie
 
Daah
Hivi umesoma kweli wewe?

Elimu yako kiwango gani,

Pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…