Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Mimi na jamaa zangu fulani tuliwahi kuvamiwa home na police majambazi huko Durban south Africa.

Jinsi tulivyoteswa kama tusingekuwa wakakamavu wa kuvumilia kipigo basi angekunya mtu siku hiyo..au kufa mtu kabisa.

Usikie hivyo hivyo tu kwa wenzio

Lakini ukibananishwa sehemu ni hatari na nusu..

Na unaweza kufanywa chochote bila kujitetea..
 
Hii stori iko nusu

Nachojua mtaka rushwa usipompa anakuacha na shida zako hakufuatilii

Sema ukweli
 
huna mpango wowote wa revenge?????......ukifikiria hivyo usisite....ila mpunga MUHIMU.....karibu.
 
Tamaa zmezidi na wao wanafanya mambo ya HOVYO na udhurumaji kama kawaida
 
TAKUKURU = SIKUPATA MAFANIKIO
POLISI= SIKUPATA MAFANIKIO
TARURA= MAKAO MAKUU NILIWAANDIKIA BARUA, NILIPIGA SIMU BILA MSAADA
TARURA= TAARIFA KWA REGIONAL COOR-DNATOR NA COUNCIL MENEJA SIKUPATA MSAADA
Mkuu, hili suala lako ni zito.. Je, umejaribu kumtafuta iGP au SSH?
 
Kawaulize wale uhamsho! Watakuadisia vizuri
 
Hiyo ni hadithi ya Juma na uledi hayo matendo kwa nchi hii labda enzi za ukoloni lakini ndani ya miaka 60 ya uhuru haijawahi kutokea.
Pole Sana,awamu hile kila baya lilifanyika
 
Kila mrefu hula kamba kwa mbuzi yake
 
Sali umuombe Mwenyezi Mungu asijewahi kukufikisha kwenye maeneo hayo kwani siyo lazima mtu kufanya kosa ndiyo yakamfika ya kumfika.
 
Sali umuombe Mwenyezi Mungu asijewahi kukufikisha kwenye maeneo hayo kwani siyo lazima mtu kufanya kosa ndiyo yakamfika ya kumfika.
Nilichoandika ndio ukweli wenyewe, nothing but the truth, sasa unataka nisali nini?
 
Kila mrefu hula kamba kwa mbuzi yake
Hapana mzee, hiyo ni zaidi ya "kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake! Yaani huo ni uhalifu ambao msingi wake mkuu sio rushwa bali msingi wake mkuu ni total collapse of the system!!
 
Hapana mzee, hiyo ni zaidi ya "kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake! Yaani huo ni uhalifu ambao msingi wake mkuu sio rushwa bali msingi wake mkuu ni total collapse of the system!!
Nimejaribu kuku PM naona iko locked
 
Kuna afande yupo kituo "X" Kuna dhuluma alinifanyia naamini Mungu atanilipia...,...mnaosema jamaa ni muongo hamjaingia kwenye pande za mapolisi njaa!!dah polisi siwapendi
 
Wanaume mnakutana na mengi aisee,Kuna haja ya kujifunza kuroga,, hii ikimkuta mtu wangu wa karibu kaka, mume nk uchawi utahusika tu hakuna namna
 
Uliwahi kufungwa jela ili kuthibitisha hayo?
 
muhimu hili tubadilike kujita raia na malizake tusema raia na haki zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…