Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

Watu wanaropoka kishujaa tu nyuma ya keyboard ila kimsingi ukitiwa kwenye 18 za wahuni unachezea kichapo. Utapambana kurusha vigumi kadhaa ila lazma pumzi ikate wahuni wanakunyoosha kilaini tu! Unakula vitasa mpaka unaona duble duble then watu wanaishi na unyolo wako safi tu!
Mimi na jamaa zangu fulani tuliwahi kuvamiwa home na police majambazi huko Durban south Africa.

Jinsi tulivyoteswa kama tusingekuwa wakakamavu wa kuvumilia kipigo basi angekunya mtu siku hiyo..au kufa mtu kabisa.

Usikie hivyo hivyo tu kwa wenzio

Lakini ukibananishwa sehemu ni hatari na nusu..

Na unaweza kufanywa chochote bila kujitetea..
 
Hii stori iko nusu

Nachojua mtaka rushwa usipompa anakuacha na shida zako hakufuatilii

Sema ukweli
 
huna mpango wowote wa revenge?????......ukifikiria hivyo usisite....ila mpunga MUHIMU.....karibu.
 
Mwanaume unaanzaje kusema ulitaka kubakwa kituo cha Polisi?

Hadithi yake ina gapes kibao, kwanza Usalama wa Taifa hawajishughulishi na mambo ya arrest.

Na ikitokea Afisa usalama wa Taifa yuko joint venture na Polisi basi ujuwe hicho ni kikosi kazi kwa kazi maalum na hapo hakuna mizaha kama hii anayohadithia huyu jamaa.
Tamaa zmezidi na wao wanafanya mambo ya HOVYO na udhurumaji kama kawaida
 
TAKUKURU = SIKUPATA MAFANIKIO
POLISI= SIKUPATA MAFANIKIO
TARURA= MAKAO MAKUU NILIWAANDIKIA BARUA, NILIPIGA SIMU BILA MSAADA
TARURA= TAARIFA KWA REGIONAL COOR-DNATOR NA COUNCIL MENEJA SIKUPATA MSAADA
Mkuu, hili suala lako ni zito.. Je, umejaribu kumtafuta iGP au SSH?
 
Kiongozi pamoja na kuwa tuna mapolisi wasiokuwa na maadili lakini hakuna vitendo hivyo kwenye vituo vya Polisi.

Hata magerezani wanaolawitiwa ni kwa hiyari yao wala si kwa kulazimishwa au kuwekwa mtu kati na kufanyiwa kinguvu, si kweli na hakuna kitu kama hicho.
Kawaulize wale uhamsho! Watakuadisia vizuri
 
Hiyo ni hadithi ya Juma na uledi hayo matendo kwa nchi hii labda enzi za ukoloni lakini ndani ya miaka 60 ya uhuru haijawahi kutokea.
Pole Sana,awamu hile kila baya lilifanyika
 
Basi, usiseme sana manake hadi naogopa!! Nikianza na "ujasiri" wa huyo jamaa wa TARURA hadi anafikia kuomba rushwa na kuidai waziwazi kiasi hicho na "ujasiri" wa polisi wa kutumia taasisi zao kabisa kukamilisha uhalifu waziwazi kiasi hicho!

Ngoja nitulie kwanza!!
Kila mrefu hula kamba kwa mbuzi yake
 
Amini nakuambia, wewe umehadithiwa tu story za vijiweni.

Ushoga unaanza nao mwenyewe kisirisiri mtaani, gerezani unakwenda kuuhalalisha tu na kusingizia jela, hakuna mtu anayelawitiwa kilazima magerezani.

Huyo analeta story, kinachowezakufanyika ni uporaji wa vitu vyako vya thamani ulivyonavyo lakini siyo mambo hayo si kweli.
Sali umuombe Mwenyezi Mungu asijewahi kukufikisha kwenye maeneo hayo kwani siyo lazima mtu kufanya kosa ndiyo yakamfika ya kumfika.
 
Sali umuombe Mwenyezi Mungu asijewahi kukufikisha kwenye maeneo hayo kwani siyo lazima mtu kufanya kosa ndiyo yakamfika ya kumfika.
Nilichoandika ndio ukweli wenyewe, nothing but the truth, sasa unataka nisali nini?
 
Kila mrefu hula kamba kwa mbuzi yake
Hapana mzee, hiyo ni zaidi ya "kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake! Yaani huo ni uhalifu ambao msingi wake mkuu sio rushwa bali msingi wake mkuu ni total collapse of the system!!
 
Hapana mzee, hiyo ni zaidi ya "kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake! Yaani huo ni uhalifu ambao msingi wake mkuu sio rushwa bali msingi wake mkuu ni total collapse of the system!!
Nimejaribu kuku PM naona iko locked
 
Kuna afande yupo kituo "X" Kuna dhuluma alinifanyia naamini Mungu atanilipia...,...mnaosema jamaa ni muongo hamjaingia kwenye pande za mapolisi njaa!!dah polisi siwapendi
 
Wanaume mnakutana na mengi aisee,Kuna haja ya kujifunza kuroga,, hii ikimkuta mtu wangu wa karibu kaka, mume nk uchawi utahusika tu hakuna namna
 
Kiongozi pamoja na kuwa tuna mapolisi wasiokuwa na maadili lakini hakuna vitendo hivyo kwenye vituo vya Polisi.

Hata magerezani wanaolawitiwa ni kwa hiyari yao wala si kwa kulazimishwa au kuwekwa mtu kati na kufanyiwa kinguvu, si kweli na hakuna kitu kama hicho.
Uliwahi kufungwa jela ili kuthibitisha hayo?
 
muhimu hili tubadilike kujita raia na malizake tusema raia na haki zake
 
Back
Top Bottom