mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,005
- 20,805
Mimi na jamaa zangu fulani tuliwahi kuvamiwa home na police majambazi huko Durban south Africa.Watu wanaropoka kishujaa tu nyuma ya keyboard ila kimsingi ukitiwa kwenye 18 za wahuni unachezea kichapo. Utapambana kurusha vigumi kadhaa ila lazma pumzi ikate wahuni wanakunyoosha kilaini tu! Unakula vitasa mpaka unaona duble duble then watu wanaishi na unyolo wako safi tu!
Jinsi tulivyoteswa kama tusingekuwa wakakamavu wa kuvumilia kipigo basi angekunya mtu siku hiyo..au kufa mtu kabisa.
Usikie hivyo hivyo tu kwa wenzio
Lakini ukibananishwa sehemu ni hatari na nusu..
Na unaweza kufanywa chochote bila kujitetea..