Nilikopa milioni 10, siku naona salary slip yanipasa kulipa 24m jicho la upande wa kushoto lilijifunga kama dakika 40 hivi. Nilijua limeparalyse!

Bila kutaja beki, na muda wa kulipa huo mkopo utakuwa hujasaidia watu, unachoficha sikioni watu tungekupa uzoefu mbali mbali.
 
Pole sana mwalimu.
 
Ulienda bank gani
 
Ndio maana mwenyezi Mungu akaharamisha riba.. Yaani anayetoa riba na anayepokea riba wote wametangaza vita na Allah tabaraka.. Riba ni mbaya sana kama Mungu mwenyewe ameliona ilo sisi ni nani mpaka tuone faida ya riba..
 
Nimeanza kulipa deni la Board toka 2016 mpaka Leo halijaisha, nategemea Disemba tumalizane. Aisee kama ni mwanao mlipie tu chuo hili deni ni konyo sana japo bumu ni tamu sana enzi hizo chuo kupiga pombe na kuchakata mbususu ila kurejesha sasa.
 
Mkuu acha tu, wakopaji tunapitia hali ngumu hapa nilipo nahisi mda si mref ntachanganyikiwa
bora yako wewe unahis kuchanganyikiwa,mm hapa nishavurugwaa kitambo kutoka kuchezea vicent mpk sas account zero,madeni yasikie tu kwa mwenzako ukiwa na maden ht usingiz haukubambi vzr yan pesa inatutesa san kwakwel hapa nadaiwa mpk na mama mkwe[emoji23][emoji23]
 
Tusitishane jamani interest rate kwa mwaka ni Kati ya 16% mpaka 18% kwa mwaka kwa mabenki haya tunayoyafahamu. Ukizidisha hiyo Rate na let say miaka mitano ya kulipia bado haifiki hata 100%. Ukute mtoa Mada alitaka arudishe pesa ndani ya miaka kumi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…